Huwezi block explicit content zote, na kama wakifanya hivyo basi mitandao ya kijamii nayo yote itafungwa.Jambo la kupongeza sana. Uraibu wa porn sio mzuri kabisa na madhara yake ni makubwa kwa watu binafsi na taifa.
Hizo sites ambazo bado zipo hewani zitapigwa pini moja baada ya nyingine mpaka ziishe zote, ni suala la muda tu.