Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Kabisa,ameiomba kizamani sana...
Yaan hapo angemsaidia hata kubeba kazigo kokote,ampelekee home kwake..angepigia kaissue hukohuko🥱
aau ajipendekeze kylipa marejesho😭😭😭
Screenshot_20241127-193751.jpg
 
Hii dunia ina kaushenz sana...

kama huna Ufaulu wa kutosha huwezi elewa umafia uliojificha kwenye hii kauli
FB_IMG_1732895067407.jpg
 
Mshangazi ukikupenda ni tabu tupu,Eliza limanyema duh yaani ilikua ni km kalogwa,
Kumbe mi nachukulia poa tu,kufua,usafi,menyu yaani full wife material.mi muhuni tu.
Tulipishana tu baada ya wivu kuzidi maana nilikua na vimeta vingine vinakuja humo ndani.
Alipoanza kupigana mpk kushika panga.
Ndo nikatosa.
Alikufa mda mfupi tu baada ya kumuacha.
Alikua na presha..
Rip🥲
 
Hizo screenshot mbili za mwanzo tu, inaonekana bibie anaelekea kibla ila kijana, kwenye medani ya ushawishi hayuko sawa, atamgonga huyo sababu bibie mwenyewe anaonekana kutaka, ila sio kwamba kijana yuko vizuri kwenye kumjaza mtu na akajaa
Utoto mwingi sana na ujanja hana.me around 13 nlikua tayari naweza mpanga hata demu over 20 akasomeka
 
Back
Top Bottom