Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Juz nimemuomba mama mtu mzima namba tukiwa kwenye basi akaninyima..ananiambia niifanyie nn nkamwambia si mawasiliano tu nataka nipate eneo mitaa unayoishi..korogwe napakubal mnooo...mama akachomoa katu katu anajua kijana lazma ningeomba mzigo tu
 
Mambo ni moto aisee mimba utailea kwa vitisho au makubaliano?
FB_IMG_1732451471692.jpg
FB_IMG_1732451471692.jpg
 
nacheka tu mwenyewe😅😅😅

mtu akanikataa hana hata siku 7

leo anajaa kwenye mfumo😅😅
Screenshot_20241125-095511.jpg
 
Back
Top Bottom