Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

Mishangazi inatafutwa kwa nguvu sana siku hizi 😂 😂 😂
Niliwahi kudondokea kwa mshangazi mmoja muuza supu enzi za ujana wangu
Nilikunywa supu mpaka nilikuwa nimenenepa Sana kiasi Cha hata kushindwa kutembea nusu saa.

Ashukuriwe Mungu ,Eliza alipata mume akanibwaga Kama maji ya Michele .
 
Nakukutanisha na Magret😅😅

Kamshangaz karembo, kabinti ka kisukuma.. single mother of two..

mweupe sana, anapenda kusali (mlokole)

Bas nikamtongoza sana, tukazoeana.. one day kaniwakia asubuhi asubuhi..

nikasema fresh nakata mawasiliano...

Kumbe anaumia, anataka tuendelee😅😅😅

wanawake hawajui wanataka nini ndugu Mad Max
Screenshot_20241124-114025.jpg
 
Niliwahi kudondokea kwa mshangazi mmoja muuza supu enzi za ujana wangu
Nilikunywa supu mpaka nilikuwa nimenenepa Sana kiasi Cha hata kushindwa kutembea nusu saa.

Ashukuriwe Mungu ,Eliza alipata mume akanibwaga Kama maji ya Michele .
Nakumbuka kipindi Niko o-level Kuna mwamba alikuwa mshkaji wangu so akafanta maelekezo kwa mama ntilie...ilikuwa nikujipigia TU chai msosi wa mchana Bure TU sunajua shemeji Hana baya 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom