Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
- #61
paparaz changamsha uzi basi tuone mishangaz upande wako😅😅😂sawa bwana solomon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
paparaz changamsha uzi basi tuone mishangaz upande wako😅😅😂sawa bwana solomon
Mi nilimfakamia mshangazi mmoja nikijua kuwa ningepata utamu badala yake nikatumbukia kwenye shimo la tewa'.Niliambiwa Sina adabu 😂 😂 😂
Ulipima?Mi nilimfakamia mshangazi mmoja nikijua kuwa ningepata utamu badala yake nikatumbukia kwenye shimo la tewa'.
mgeni jijini wewe, utalea mimba ya dume jingineHakuna kitu sipendi kama Abortion
Kutoa mimba ni kosa kubwa sana kwa mwanamke ambaye nitakuja kutoma nae..
Napenda sana watoto..
huyu nilijaribu kumgusia kuhusu mimba nione reaction yakeView attachment 3160162
Kama anadhani kila mtu humu atamuamini anakosea sanaUkiangalia hizo chattings ni mtu mmoja ana simu mbili anajichatisha mwenyewe
Hahaha,Leta 6 wewe
Bahari ya HindiMi nilimfakamia mshangazi mmoja nikijua kuwa ningepata utamu badala yake nikatumbukia kwenye shimo la tewa'.
Yeah!Bahari ya Hindi
Nina uhakika kwenye sehemu ya 6 mshangazi atabomolewa kinyeoo na bwana Evans.Hahaha,
Mbona dogo ashachakata tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwahi kudondokea kwa mshangazi mmoja muuza supu enzi za ujana wangu
Nilikunywa supu mpaka nilikuwa nimenenepa Sana kiasi Cha hata kushindwa kutembea nusu saa.
Ashukuriwe Mungu ,Eliza alipata mume akanibwaga Kama maji ya Michele .
Sasa umegonga leo, na leo leo ukapime ngoma, ionekane 🤣🤣Baada ya kula ndio nikapata Fahamu za kwenda kupima..ðŸ˜ðŸ˜View attachment 3160151
Sema kweli mkuu,🥱Hizo screenshot mbili za mwanzo tu, inaonekana bibie anaelekea kibla ila kijana, kwenye medani ya ushawishi hayuko sawa, atamgonga huyo sababu bibie mwenyewe anaonekana kutaka, ila sio kwamba kijana yuko vizuri kwenye kumjaza mtu na akajaa
Uzi unatembea kinyama aisee! Mambo yetu yaleeeeeeeeeee!!!!Huu uzi una akisi maisha ya vijana wa hovyo