Weka hapa Tiba asilia ulizowahi kutumia na zikakusaidia, mimi zangu hizi hapa

Jaribu kumchanganyia majani ya Aluvini kwenye chai ya moto, akinywa bia hata kijiko kimoja atahisi kichefuchefu na kutapika. Akinywa pombe tena NJOO UNIUE, NIMEKAA PALE
naomba kuona picha ya hayo majani ya aluvini ili kuitambua vyema.
 
tumia Ndizi[emoji529]+ Maziwa fresh[emoji1636]+ Karanga + Vijiko 4 Vya Asali

Hakikisha unavisaga kwenye blender ili uweze kupata mchanganyiko mzuri, hapo itakuwa Tayari Sasa Kwa matumizi, tumia ndani ya week 2 kutwa mara tatu utakuja kunishukuru
Kiwango Ni kias gan mfano karanga Ni nusu au na je ndiz ngapi?
 
Jaribu kumchanganyia majani ya Aluvini kwenye chai ya moto, akinywa bia hata kijiko kimoja atahisi kichefuchefu na kutapika. Akinywa pombe tena NJOO UNIUE, NIMEKAA PALE
Naomba kuona hayo majani ya Aluvini
 
Jaribu kumchanganyia majani ya Aluvini kwenye chai ya moto, akinywa bia hata kijiko kimoja atahisi kichefuchefu na kutapika. Akinywa pombe tena NJOO UNIUE, NIMEKAA PALE
yanapatikana wapi hayo? pia kama unaweza kuwa na japo picha yake ukaiweka hapa itakuwa bora zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…