Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Wako sahihi,hizo nafasi zingekuwa za 'me'tayari zingejazwa... BAWACHA waliamua kubadili gia angani,kama mlivofanya kwa Lowasa. Sterling alikimbia ubalozini,akasindikizwa airport kupaa pipa hadi kwa mabeberu..director ameamua kupata actresses ili picha linoge... Wapewe onyo,wakafanye siasa bungeni,maisha yasonge
 
Mifumo yote imeharibiwa na dikteta hakuna mifumo tena tuna amri mkuu
 
Hadi hapa tulipo, 90% ya Watanzania siyo wazalendo, na kati yao 95% ni viongozi wabunge wakiwemo.
 
Mkuu Okwi Bobani Sunzu,katika kitugumu kueleweka duniani ni SIASA.
Mkuu nakufuatiliaga sana kule 'jamii sports,'
Ongeza nguvu kule wanamichezo tuburudike huku uje mara moja moja
 
Nchi ina muhimili mmoja tu, kama mtu aweza kutolewa gerezani usiku usiku na kukimbizwa Dodoma, kuapishwa, hakuna utawala wa sheria, kuna utawala wa mwenyekiti wa chama la wana.

Imefikirisha sana!

Ndicho nilichojifunza, sheria ipo kwa wezi wa kuku mitaani.

Everyday is Saturday................................😎
 
Maisha lazima yaendelee njaa, kujenga chama nk, wasamehewe kisha madhaifu haya CDM wapozwe na viti vya ziada JPM, tatizo letu kubwa ni mfumo hitaji katiba bora,ni imani yangu hata huko ccm wapo waugwana wengi hawahitaji kubebwa.
 
Mambo bado hayapo clear. We need to know more. Mimi siamini kama wale nao wamejipeleka tu bila baraka za mtu yeyote.
 
VIONGOZI WAMEAMUA KUNAJISI TZ
 
Kilichofanyika ni uhuni mkubwa na aibu kunwa kwa taifa letu.
 
Hii ndio process ya kuua upinzani.

Divide and rule system hutumiwa sana na madikteta.
 
Acha kusa support ujinga kwa kigezo cha kupata maumivu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…