Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

Basi waanzishe chama chao kisichofuata utaratibu maana hawawezi kujiamulia wao kwa mwamvuli wa chama cha siasa wakati wameanua wenyewe kwa sababu zao wenyewe.
 
Mnatia sana huruma


mbowe kateua katibu mkuu mpya au naibu katibu mkuu kasawazisha, bila mnyika kujua

Kafuata taratibu zote wabunge wale pale

Mnyika, Lissu automatically wako against Mbowe kwenye hili


Mkiambiwa chama kina wenyewe uelewe
Ndio maana nyumba zinawekwa milango na madirisha. Mlango ukigoma tunapita kwenye dirisha.
 
Mkuu Pole kwanza kwa majanga. Lakini pili nikupe Pole kwa siku Zote kukimbia matatizo ya nyumbani kwako na kufikiria majirani ndo sababu. Haiwezekani kabisa. So futa pumba zako
 
Mkuu Pole kwanza kwa majanga. Lakini pili nikupe Pole kwa siku Zote kukimbia matatizo ya nyumbani kwako na kufikiria majirani ndo sababu. Haiwezekani kabisa. So futa pumba zako
unachangia mada gani mkuu. hapa tunajadili credibility ya mamlaka zetu
 

Jamaa pumba gani unaandika hapa. Nenda nyumbani kwako. Hapa Hakuna mkono wa Serikali. Jifunze kulaumiana Ndani yenu na kutatua matatizo yenu. Kwanini mnapenda sana majibu rahisi kwenye mtihani mgumu
 
Hzi akili za matopeni mnazitoa wapi ? Mdee kasema Wana baraka za Mbowe, mnyika kasema hajui kinachoendelea, Mbowe yupo kimya , wewe Kwa akili yako unaitupia lawama CCM na serikali yake.....mna matatizo makubwa Sana
 
Uwezo wako wa kuchambua na kung'amua mambo ni mdogo sana!
Wamegushi hilo liko wazi. Yani hapa ni wasaliti walioaminika ndani ya Chadema, wameshirikiana na serikali kughushi ili kutimiza lengo lao. Hapa serikali imejitia doa, na CHADEMA kama chama imeonekana kuwa imejaa watu wanaojali matumbo yao. Mbwa kala mbwa. Tuwaache tuendelee na mambo mengine.
 
Hzi akili za matopeni mnazitoa wapi ? Mdee kasema Wana baraka za Mbowe, mnyika kasema hajui kinachoendelea, Mbowe yupo kimya , wewe Kwa akili yako unaitupia lawama CCM na serikali yake.....mna matatizo makubwa Sana
Fomu za NEC za hao wabunge viti maalum ilibidi ziwe na signature ya Mnyika ambaye anasema hazina. Iwe Mbowe ameshiriki hakushiriki bado uteuzi wao una walakini inabidi uchunguzwe kuna kughushi hapo.
 
Fomu za NEC za hao wabunge viti maalum ilibidi ziwe na signature ya Mnyika ambaye anasema hazina. Iwe Mbowe ameshiriki hakushiriki bado uteuzi wao una walakini inabidi uchunguzwe kuna kughushi hapo.
umamuelewesha chizi
 
NEC haina credibility kabisa, baada ya kufoji kura za urais sasa wanafoji barua za vyama.

So wewe unadhani Lissu angekuwa Rais. Unajua Kwanini alikuwa na go and return ticket. Ukiwa mpumbavu jaribu kukaa kimya
 
Kama serikali inaghushi huku mtaani itakuwaje? tutegemee muendelezo wa kughushi, ikiwa ni moja ya nyenzo ya kujinasua kwenye matatizo
Ww unatafuta matatizo ww aliegush km NEC.CCM.Bunge.DPP wapo juu ya sheria thubutu ww uone
 
Viongozi wa CHADEMA wameshatoa kauli nyingi za uongo. Hawaaminiki. Usiache shughuli zako sababu ya kuipigania Chadema, utajuta...
Kauli za uongo zipi? Labda ungetuwekea rejea hapa tuzione. Pamoja na hayo, kitendo cha ofisi tunayoita ya bunge tukufu kushiriki katika kugushi nyaraka in aibu ambayo haijapata kulitokea bunge letu tangu Uhuru.
Ndugai no fedheha kuu
 
Sytem ishamkataa trump,soon air force one haitomtambua,ofisi ya raisi haitomtambua, vyombo vya ulinzi havitomtambua, secretary yake haitomtambua.Atafanya kazi na nani sasa.

Uwe unaelewa content. Point ni kuwa Siasa Ni michezo ya Hatari popote. Huku Ujerumani. Kule marekani . Huko urusi China nk. Hao waafrika wamejisfunza propaganda huku na kule. Na hao wazungu wanakuwa upande wako as Long as wanafanikisha maslahi yao SIO YAKO. Weka kichwani hili. Utaishi kwa Amani sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…