Rudi kasome post #112Ni ndugu zetu hao na urafiki nao ni SAWA ni binadamu kama sisi.Ila don't take things for granted.Toa Ujinga nyie ndo Wala ukigombana na mtu unatishia watu na kaka mwanajeshi namuita acha Ujinga huo.
Daaah hivi mkuu hawa watu unawajua wewe?Sasa mimi nakushauri,weka urafiki na usalama wa taifa hutajutia hata siku moja,na utakuja nishukuru, wale jamaa wanakulinda masaa 24 bila wwe hata kujijuwa,ukipata matatizo na vyombo vya dola kama ni haki yako.wao tayari wameshaingia.kazini kukupambania bila wwe kujijuwa!!
Bora waje huku TISS,hatubagui,tuko hadi Masokoni kwa wabeba Lumbesa!!Njooni tu sisi tunapenda kuishi na raia Kwa amani ingawa sometimes mnazingua
USSR
Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
Na nikwambie kitu,Wanajeshi wa sahivi wana Akili very Smart sana na wanafundishwa nidhamu ya hali ya juu,Mimi na washikaji kibao huko sasa Fanya Ujinga wako mtaani mwambie atakwambia kabisa fuata sheria umekosea.Rudi kasome post #112
Tulia fuatilia kwa makini.
Nawe pia mkuu , ukawe mwaka wa heri.
Kukugeuka ni sahihi,wale wengine wanakusondekea ili wapate maokoto kwakoLakini jitahidi uelewe saikolojia ya wanajeshi, Kuna siku hutaamini kama anaekupa doso ndiyo mshikaji wako.
Mazoea ya hovyo, unamfuata jamaa mpaka kikosini, unaleta kiburi kwa askari wenzie. Atakugeuka dakika sifuri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kama mgeni vituo vya polisi.
Endelea kusimuliwa kuhusu haki na Sheria.
Shukrani mkuu
Nadhani hii inakuwaga kipindi huko CCP jamaa wanazinguaga sana. Imewahi kunikuta hiyo mimi.makamanda hawanaga kwere ila hawa raia wakakamavu anaweza akawa mwanao akukuuza kwa mapimbi wenzie wakupige maokoto
Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.
Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.
Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!
Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.
Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhali
Na ndio msingi,tunatatizo sana Watz Kwa upande wa kujua haki/ Sheria na wajibu wetu.Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.
Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.
Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!
Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.
Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
Asante kushirikiNa nikwambie kitu,Wanajeshi wa sahivi wana Akili very Smart sana na wanafundishwa nidhamu ya hali ya juu,Mimi na washikaji kibao huko sasa Fanya Ujinga wako mtaani mwambie atakwambia kabisa fuata sheria umekosea.
Labda na wenyewe mambo yao yanajitosheleza kulinganisha na wengine?!Hawa mabaka labda muwachokoze ndio utajua hujui lkn hawana tamaa kama hawa wenzetu ..
.
Hiyo ni huko kwa wenzetu ila kwa hii nchi hata ukiwa na pesa jitahidi uwe pia na mamlaka au ukishindwa basi jiweke karibu na wenye mamlaka, ndio maana unaona kuna matajiri pamoja na pesa zao bado wanateswa na wenye mamlaka na muda wowote wanaweza kupukutishwa utajiri wao huku wanajiona, ndio maana unaona kuna watu wengi ni matajiri ila bado wanahangaika kuingia kwenye siasa ili wawe na mamlaka na matajiri wanaopeta ni wale wanaowalamba miguu viongoziHaya ni mawazo ya watu maskini. Ukiwa na mawazo ya kimaskini daima utajibebisha kwa wanaume wenzako.
Tafuta hela, ukiwa nazo hutakuwa na haja ya kujibebisha Kwa mtu yeyote Lisa sijui ye ni nani.
Wale vijana waliouwawa na polisi wakidai ni panya road, ile ni haki au sio haki?Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.
Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.
Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!
Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.
Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
Sijui kwanini watu hawaelewi hili.Hiyo ni huko kwa wenzetu ila kwa hii nchi hata ukiwa na pesa jitahidi uwe pia na mamlaka au ukishindwa basi jiweke karibu na wenye mamlaka, ndio maana unaona kuna matajiri pamoja na pesa zao bado wanateswa na wenye mamlaka na muda wowote wanaweza kupukutishwa utajiri wao huku wanajiona, ndio maana unaona kuna watu wengi ni matajiri ila bado wanahangaika kuingia kwenye siasa ili wawe na mamlaka na matajiri wanaopeta ni wale wanaowalamba miguu viongozi
Kama tito magoti alikuwa mwanaharakati alifanya kosa gani mpaka afichwe?Mimi ni Mwanasheria na ninachoongea nina-experience nacho.
Kumbuka wakati ule (2019) Tito Magoti (Mwanaharakati) alikamatwa na kupelekwa kusikojulikana.
Unadhani watu wa karibu na Tito hawakua wakifahamiana na polisi au wakuu wa vyombo vya usalama?!
Ni sheria tu ndo ilifanikisha kuonekana kwake. Wanasheria waliandaa maombi maalum chini ya kifungu 390 (1) (a) and (b) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai “Habeas Corpus” ( Tafsiri isiyo rasmi: Mleteni mbele ya Mahakama) ndipo Tito na mwenzake Theo wakatolewa walipokua na kuletwa hadharani kwa mara ya kwanza.
Nasisitiza kuijua sheria na haki zako ndo ngao pekee dhidi ya udhalimu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hawapendi kuitwa hivyo.Mkuu wewe ni bakabaka?
Ndio kama huna connection utachorewa sana hizo kesi mkuuBaba police waone ivyo ivyo wakikucholea case you finished