Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

Usiichukulie poa poa! Simba ya dakika za mwisho ilibadilika sana. Na matunda yake wameonekana kwenye mechi zote zilizofuata baada ya kupigwa zile 3 na hao Waarabu.
Huna baya mkuu.. hata kama hayatoki moyoni ila ndo ukweli wenyewe...
Huo ndo ukweliiiiiiiiiiii
 
Utabiri wako ukitimia itakuwa bomba sana maana itasaidia kubalansi uzi wa takwimu mimi kama fan wa Kibu nitakwenda kuweka rekodi sawa katika uzi wetu wa takwimu.
 
Raja 3 simba 1
 
Huna baya mkuu.. hata kama hayatoki moyoni ila ndo ukweli wenyewe...
Huo ndo ukweliiiiiiiiiiii
Kwenye huu uzi naongea kama mdau wa michezo. Hivyo uwe na amani tele. Haya ninayosema, yanatoka moyoni. Ukiweka nia ya dhati katika jambo, hakuna kitakacho shindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…