Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazembe anakufa kwakeKwanini usingezungumzia game yenu na Mazembe pale Lubumbashi?
Ngoja nikuweke kiporo kwanza, tutakutana hiyo siku ...
AahaaaaaaaaKwani si tulikubaliana hizi timu zinashiriki Kombe la Ma Loosers! Sasa kuna umuhimu gani wa kuzijadili? Huu uzi ni kwa ajili ya timu zinazoshiriki Klabu Bingwa bhana.
Huna baya mkuu.. hata kama hayatoki moyoni ila ndo ukweli wenyewe...Usiichukulie poa poa! Simba ya dakika za mwisho ilibadilika sana. Na matunda yake wameonekana kwenye mechi zote zilizofuata baada ya kupigwa zile 3 na hao Waarabu.
Utabiri wako ukitimia itakuwa bomba sana maana itasaidia kubalansi uzi wa takwimu mimi kama fan wa Kibu nitakwenda kuweka rekodi sawa katika uzi wetu wa takwimu.Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika mechi zao za mwisho kucheza, Simba akiwa nyumbani, aliifunga Horoya goli 7-0! Huku Raja Casablanca akiwa ugenini Uganda, alipata sare ya 1-1 na wenyeji Vipers.
Kwa nini nimechukua nafasi hii nyeti kabisa kuwakaribisha wadau wenzangu wa michezo, kubashiri huu mchezo? Ni kutokana na kiwango bora kabisa walichokionesha Raja Casablanca tangu mwanzo kwenye hii hatua ya makundi, kiasi cha kutopoteza mchezo wao hata mmoja mpaka sasa. (Na ndiyo wamebiwa na hii mechi ya mwisho dhidi ya Simba)
Lakini sababu ya pili imetokana na kiwango walichokionesha Simba siku za hivi karibuni dhidi ya wapinzani wake kwenye haya mashindano! Mfano Simba ilimfunga Vipers nyumbani na ugenini, halafu ikamfunga tena Horoya goli 7-0 pale kwa Mkapa! Imgine Tripple C alipiga hat trick! Putin akapiga 2! Baleke naye akapiga 2!! What a performance!
Nisiwapotezee muda! Binafsi utabiri wangu unaenda kwa simba! Naamini kwenye hiyo mechi yao ya marudio kule Morocco, watampiga Mwarabu goli 3-0 katika uwanja wake wa nyumbani. Yaani kama walifanya Yanga vile kwa ile Club Africains ya Tunisia. Na wafungaji wa hayo magoli kama kawaida; watakuwa ni Chama, Baleke na Kibu D.
Vipi na wewe kuhusu utabiri wako? Na ifahamike pia unapobashiri, kuna kupatia! Lakini pia kuna kuchanika kwa mkeka. Hivyo asitokee mtu baadaye wa kuja kumkamata mwenzake uchawi hapa! Nadhani wazee wa mikeka wamenielewa vizuri.
Nani ni nani kati ya Raja Casablanca vs Simba wiki kadhaa kutoka sasa?
Karibuni wadau wenzangu wote wa mpira wa miguu.
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika mechi zao za mwisho kucheza, Simba akiwa nyumbani, aliifunga Horoya goli 7-0! Huku Raja Casablanca akiwa ugenini Uganda, alipata sare ya 1-1 na wenyeji Vipers.
Kwa nini nimechukua nafasi hii nyeti kabisa kuwakaribisha wadau wenzangu wa michezo, kubashiri huu mchezo? Ni kutokana na kiwango bora kabisa walichokionesha Raja Casablanca tangu mwanzo kwenye hii hatua ya makundi, kiasi cha kutopoteza mchezo wao hata mmoja mpaka sasa. (Na ndiyo wamebiwa na hii mechi ya mwisho dhidi ya Simba)
Lakini sababu ya pili imetokana na kiwango walichokionesha Simba siku za hivi karibuni dhidi ya wapinzani wake kwenye haya mashindano! Mfano Simba ilimfunga Vipers nyumbani na ugenini, halafu ikamfunga tena Horoya goli 7-0 pale kwa Mkapa! Imgine Tripple C alipiga hat trick! Putin akapiga 2! Baleke naye akapiga 2!! What a performance!
Nisiwapotezee muda! Binafsi utabiri wangu unaenda kwa simba! Naamini kwenye hiyo mechi yao ya marudio kule Morocco, watampiga Mwarabu goli 3-0 katika uwanja wake wa nyumbani. Yaani kama walifanya Yanga vile kwa ile Club Africains ya Tunisia. Na wafungaji wa hayo magoli kama kawaida; watakuwa ni Chama, Baleke na Kibu D.
Vipi na wewe kuhusu utabiri wako? Na ifahamike pia unapobashiri, kuna kupatia! Lakini pia kuna kuchanika kwa mkeka. Hivyo asitokee mtu baadaye wa kuja kumkamata mwenzake uchawi hapa! Nadhani wazee wa mikeka wamenielewa vizuri.
Nani ni nani kati ya Raja Casablanca vs Simba wiki kadhaa kutoka sasa?
Karibuni wadau wenzangu wote wa mpira wa miguu.
Unadhani Simba ni kama nyinyi mlilambwa 6 mnungi?10-0 💃💃💃💃💃
Unasemaje???Simba haijawahi kufungwa hata nusu ya hizo goli na timu yoyote ile hapa duniani. Lakini naheshimu utabiri wako.
Kwenye huu uzi naongea kama mdau wa michezo. Hivyo uwe na amani tele. Haya ninayosema, yanatoka moyoni. Ukiweka nia ya dhati katika jambo, hakuna kitakacho shindikana.Huna baya mkuu.. hata kama hayatoki moyoni ila ndo ukweli wenyewe...
Huo ndo ukweliiiiiiiiiiii
Mbona baadhi ya wenye timu yao wanasema haya matokeo ni batili? Eti kipindi hicho hakukuwepo na timu inayoitwa Simba! Na badala yake timu ya wakati huo ilikuwa ikiitwa Sunderland!!Unasemaje???View attachment 2560692
Acheni kuchukua vitu vya mtaani nyie ni GTUnasemaje???View attachment 2560692
Acha ujinga mkuu..Morocco, watampiga Mwarabu goli 3-0
Aache ujinga gani kwani haiwezakani?.ndo maana ya utabiri..Acha ujinga mkuu..
Wewe huyo ndiye umeamua kuwa na hekima kiasi hiki?Acheni kuchukua vitu vya mtaani nyie ni GT
HayaKwa kwenye ile mechi waliyompiga mtu 7-0, uliona viashiria vyovyote vya uchawi? Hawa jamaa wakiamua wanaweza.