Weka utabiri wako hapa wa mechi ya marudiano wiki chache zijazo kati Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania

Makolo wananyolewa na mwarabu😂.wanabisha wajitokeze wakanushe hapa🏃🏃
 
Makolo wananyolewa na mwarabu😂
Wananyolewa kwa goli ngapi? Maana baada ya hiyo mechi kumalizika, tutarudi hapa kwa ajili kuwapongeza washindi waliobashiri matokeo kwa ukamilifu.
 
Wananyolewa kwa goli ngapi? Maana baada ya hiyo mechi kumalizika, tutarudi hapa kwa ajili kuwapongeza washindi waliobashiri matokeo kwa ukamilifu.
Wanapigwa mbili,mtungi tena goli za karibu karibu😂
 
Wanapigwa mbili,mtungi tena goli za karibu karibu😂
Siku ya kuchezwa kwa huo mchezo, Insha Allah tutarudi hapa baada ya dakika 90 ili kuja kuwapongeza sasa wale wote waliobashiri matokeo ya hiyo mechi kwa usahihi.

Na uzuri huu uzi hauegemei upande wowote ule. Lengo kuu ni ubashiri tu.
 
Najua Raja wataogopa majeruhi hivyo hawatakamia sana.

Simba 2 - 1 Raja
Uko sahihi. Hata kwenye mechi yao ya mwisho na Vipers, jambo kama hilo limeonekana wazi kabisa.

Kama Simba ilipata pointi 3 Uganda, maana yake hata Raja nao wangeweza kupata kama wangeamua kukaza! Ila waliamua tu kulinda heshima hata kwa sare.
 
Mechi haitakuwa na magoli maana timu zote zimeshafuzu.. raja makali yake yaliisha mechi ya 4.

Hata raja alivyocheza na vipers juzi mechi ya 5 uganda.. mechi ilikuwa sio ya matokeo kwa raja bali ya ball possession tu. Alipanga kikosi cha pili wakawa wana have fun tu
 
Hii mechi haina umuhimu kila timu itaweka timu b
 
Yaan huyu shoustiee anawashwaa na simba hadi and chachawa, yaan simba inamtesa hadi anaweweseka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Khaaaaaaah, kazi ipoooo.
 
Moto FC atapigwa mkono wa nyani😅😅
 
Kule juu naona kuna 13-0, 27-0, 8-0, sasa bora nami niwaongezee nyingine 97-0 ili roho zenu zitulie kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…