Wekeza Milioni 7 upate Milioni 20 ndani ya miezi 6

hawa watoto wa 2000 yaan wanachukulia maisha ni note book kuna umuhimu sasa wa kua na filter maada za msingi , uhalisia na Makadirio kuwekwa wazi

uko mbali ungekua karibu ningekuchalaza bakora 6M = 20M kwa miezi 6M
Inawezikana kabisa mfano ipo mingi sana, Mwaka huu hiyo 7Milioni unaweza kupata 20+ Milioni ,
Mahindi Gunia Moja Leo ni Tshs 35000 , ukinunua Mahindi Gunia 200 za Mahindi unaweza kabisa kuuza mwezi Desimba Kwa Tsh Laki Moja na Zaidi Kwa Gunia Moja, Sababu kwanini Mahindi yatapanda Bei ni maljirani zetu wengi Wana njaa na ukame mwaka huu Zambia. , Malawi, Angola, Zimbabwe na Msumbiji Kwa Upande wa mikoa ya kusini magharibi na nyanda za juu kusini. Mahindi Yao yatavuka sana kwenda upande wa Zambia na Malawi Kwa Kasi.
Ruvuma Mahindi Yao yatavushwa sana kuingia Msumbiji na Malawi
Mahindi ya Kiteto, kondoa, Babati, mbulu na Karatu yayakwenda sana upande wa Kenya kupitia namanga ma Tarakea.
Piya mwaka huu wengi wa Mvua umeathiri sana kiimo Cha mahindi kwenye Mashamba ya kichanga na udongo mwepesi Mahindi ya metitia chini, kwenye maeneo ya mbuga na udongo wa mfinyazi ndio watavuna vizuri.
 
Ahsante kwa muongozo mkuu mpaka sasa nnae mtu atakaenipa miongozo ila bado nafanya tafiti.
Asante Mkuu, nenda pale Kahama kuna sehem inaitwa Malunga, ule mtaa una majineri mengi ya kuchakata kpunga, kafanye survey hata mwezi mmoja au zaidi uone wanafanyeje, then nenda vijijini, kuna kijiji kimoja kinaitwa Nyasonge au nyahwale pale pale kahama wanalima sana zao la mpunga, wa study watu wale then utatoka na uzoefu mkubwa sana.
 
Inawezikana kabisa mfano ipo mingi sana, Mwaka huu hiyo 7Milioni unaweza kupata 20+ Milioni ,
Mahindi Gunia Moja Leo ni Tshs 35000 , ukinunua Mahindi Gunia 200 za Mahindi unaweza kabisa kuuza mwezi Desimba Kwa Tsh Laki Moja na Zaidi Kwa Gunia Moja, Sababu kwanini Mahindi yatapanda Bei ni maljirani zetu wengi Wana njaa na ukame mwaka huu Zambia. , Malawi, Angola, Zimbabwe na Msumbiji Kwa Upande wa mikoa ya kusini magharibi na nyanda za juu kusini. Mahindi Yao yatavuka sana kwenda upande wa Zambia na Malawi Kwa Kasi.
Ruvuma Mahindi Yao yatavushwa sana kuingia Msumbiji na Malawi
Mahindi ya Kiteto, kondoa, Babati, mbulu na Karatu yayakwenda sana upande wa Kenya kupitia namanga ma Tarakea.
Piya mwaka huu wengi wa Mvua umeathiri sana kiimo Cha mahindi kwenye Mashamba ya kichanga na udongo mwepesi Mahindi ya metitia chini, kwenye maeneo ya mbuga na udongo wa mfinyazi ndio

Inawezikana kabisa mfano ipo mingi sana, Mwaka huu hiyo 7Milioni unaweza kupata 20+ Milioni ,
Mahindi Gunia Moja Leo ni Tshs 35000 , ukinunua Mahindi Gunia 200 za Mahindi unaweza kabisa kuuza mwezi Desimba Kwa Tsh Laki Moja na Zaidi Kwa Gunia Moja, Sababu kwanini Mahindi yatapanda Bei ni maljirani zetu wengi Wana njaa na ukame mwaka huu Zambia. , Malawi, Angola, Zimbabwe na Msumbiji Kwa Upande wa mikoa ya kusini magharibi na nyanda za juu kusini. Mahindi Yao yatavuka sana kwenda upande wa Zambia na Malawi Kwa Kasi.
Ruvuma Mahindi Yao yatavushwa sana kuingia Msumbiji na Malawi
Mahindi ya Kiteto, kondoa, Babati, mbulu na Karatu yayakwenda sana upande wa Kenya kupitia namanga ma Tarakea.
Piya mwaka huu wengi wa Mvua umeathiri sana kiimo Cha mahindi kwenye Mashamba ya kichanga na udongo mwepesi Mahindi ya metitia chini, kwenye maeneo ya mbuga na udongo wa mfinyazi ndio watavuna vizuri.
Bora useme ww kaka watoto wa mama wako Dar watajua wapi izi hesabu unamkuta mtu anakaza fuvu wakati hajui chochote mimi niko field i speak from my experiance n current situation
 
Asante Mkuu, nenda pale Kahama kuna sehem inaitwa Malunga, ule mtaa una majineri mengi ya kuchakata kpunga, kafanye survey hata mwezi mmoja au zaidi uone wanafanyeje, then nenda vijijini, kuna kijiji kimoja kinaitwa Nyasonge au nyahwale pale pale kahama wanalima sana zao la mpunga, wa study watu wale then utatoka na uzoefu mkubwa sana.
Ni lazima iwe kahama, kwanini kahama?
Hakuna sehemu nyingine ipo vizuri kwa biashara hiyo ukanda huo?
Natanguliza shukrani.

Kama upo familiar na biashara ya alizeti na mafuta pia naomba ugusie kidogo.
 
Wewe ni muongo sana, mpunga huu mwaka hautapanda kufika hio bei uliotaja hapo sababu ni mwingi sana na bahati mbaya sana umekutana na mpunga wa mwaka jana ambao ni mwingi uliwekwa store. Mahindi ndo yatapanda mwaka huu na hapo unaponunulia elfu 42 gunia la debe 6 itakuwa mjini sana maana mahindi mazuri shambani saivi ni 35k kwa gunia la debe 7, mpaka mjini linafika kwa 40k gunia la debe 7. Na machimbo bado yapo mengi yenye mahindi mengi kwa sasa.
 
Salamaleko,

Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake gunia la debe sita la mpunga ni 30000. Na gunia la mahindi la debe sita linasoma 42,000.

Kama una mtaji wa kununua mpunga kwa kipindi cha mavuno basi una uhakika wa kuingiza mil 20 kwa mtaji wa mil 6 kwa muda wa miezi 5 (UHAKIKA)

MCHANGANUO
Gunia la mpunga 30,000 unanunua gunia 200 jumla inakuja 6,000,000 kwenye million 7 inakua imebaki million 1 kwa ajili ya kukava gharama za ukusanyaji na mambo mengine madogo madogo.

Huu tupo mwezi wa 5 ikifika mwezi wa 10/11/12 gunia la mpunga linafika 100,000l= kutoka 30k ya sasa.

Sasa una gunia 200 stoo zidisha 100,000 kwa kila gunia mzigo utasoma 20,000,000/= ukitoa mil 7 uliyowekeza UNABAKI NA 13,000,000/=KAMA FAIDA KWA MIEZI SITA (6) WOOW

NB: Ni bora kununua mpunga kuliko mahindi sababu mpunga hauna gharama sana kwenye kutunza kama mahindi

UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI UKU NILIKO KUNA FURSA NJOO TUWEKEZE

Ushauri maoni kurekebishana ruksa, nawakaribisha.
JICHANGANYENI SASA MTAIMBA HALLELUJAH...

Location?
Mkow gani,wilaya na kijiji mpunga gunia elf 30?
 
Kununua gunia tupu 500/=
Kupima na kushona 200/=
Kutoa mzigo porini kuleta stoo 10,000/=+
Ushuru njiani 2000/=
Wapakiaji 300/=
Kushusha na Kupanga stoo 500/=
Hifadhi ya stoo 10,000/=
Kijana wa kukusanya 1000/=
Uhalibifu 500/=
Cost ya kila gunia Jumla Tsh. 25,0000/=+ 30,000 ya manunuzi ,= 55,000/=

Hapa bado gharama za kukaa kijijini kula na kulala.
Bado vibali/leseni ya Mazao kama laki 7 au 6.
Bado tips za madalali na viongozi wa Vijiji kwa kifupi hii kazi usiichukulie poa Field ina wenyewe.

IMG_5854.jpg

Mwaka jana ghala letu lili ezuliwa na mvua na mpunga uliloa ikabidi tukakoboe usiku usiku kwa bei ya hasara tulikua tunabeba magunia huku tunalia. Hlf kuna kiazi anakwambia faida milioni 20 nje nje.

Nyie[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG_5853.jpg
 
Back
Top Bottom