Well done Jakaya Kikwete

Wanaoshangilia yanayoendelea wala si ccm. Hao ni wa upande mwingine. Miaka 6 nyuma ilikuwa shida kukatiza mtaani na jezi ya ccm. Magu alikitoa chama shimoni.
 
Mimi kweli namchukia Mwendazake, Ila sikuzuii wewe kumpenda. Tubakie tu kila mtu ashinde mechi zake. Kwangu Mwendazake alikuwa mwizi wa mali ya umma, mwongo, mbaguzi wa maendeleo, mkabila, mropokaji, mbambikiaji kesi za uhujumu kwa wakosoaji, muuwaji. Kimsingi Magufuli alikuwa mtoto wa Shetani
 
Hakika over time.
Uvumilivu unalipa.
Twasikia JPM alisha muweka kibano mama Kikwete .
 
Mkuu unafurahia usiyoyajua....
 
Kumbe ndio maana Kikwete anaongea sana, sasa itabidi na Samia aunde kundi lake huko ili awe salama, huyu mama anatakiwa kuwa vocal zaidi kuendelea kusemewa na Kikwete ataonekana dhaifu.
Tutaanza kutembeza vibaba tena, hayo ndio waliyoyataka baada ya kuwekwa kapuni na chinga pamoja na jiwe,sasa wote hawapo kila mtu anatoka shimoni, tunakoenda siko.
 
Tutaanza kutembeza vibaba tena, hayo ndio waliyoyataka baada ya kuwekwa kapuni na chinga pamoja na jiwe,sasa wote hawapo kila mtu anatoka shimoni, tunakoenda siko.
Mwendazake kakopa hela nyingi kuliko watangulizi wake wote waliopita unalijuwa hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…