km ana kinena cha kike anajiamini aje huku
kule anatupa umaarufu mavi
anatuogopa ndo maana stress za boksi hizo
ht martenity huna wala samaki wa bure hupati
Wewe ndio hujanielewa, i mean anatakiwa aachane na Diamond na abadirike waowaji wapo wengi tu, ila kama anataka kuolewa na Superstar nampa pole yake hakunaga ndoa ya Masuperstar.
Mkitaka kutoa mfano wa Jayzee mtakuwa mnajidanganya wenyewe, Wema inatakiwa awe na mahusiano na mtu ambaye si maarufu wala wa media atayafurahia maisha yake.
Hoyce Temu na Faraja Kota wote wameolewa na watu wenye pesa na maisha yanakwenda safi, why not Wema Sepetu? Kujichanganya na waswahili walioishia darasa la saba kwa ajili ya pesa atakuja kujuta maisha yake yote.
binamu ndugu yako ana hasira akikuta msg moja anatuma nane anapanik hatarii vizee vinampanikisha kuwachambisha
Hakuna ndoa wala kutolewa barua ya uchumba? Uhusiano gan huo, kajisemea masanja mnakaa kwenye uhusiano kama mnasomea udaktari
Halaf hao wanaotusapoti maskini sijui ni kina naniii
hahahaaaaaa....!!!kavurugwa hatari anajifanya hana mda wa kujiunga jf mbona anatusoma sie tu si aende mmu au jukwaa la lugha ana hasira na mie huyoo km tunashare bwana
Hahahaaaaa yule ni pilipili kichaa kweli...watu huwajui unabuni hadi kazi zao???hatari hii
Hhhhhhaaaaaa, ,utakuta hana hata mia huyo aje nikaange nae samakii
Hahahaaaaa yule ni pilipili kichaa kweli...watu huwajui unabuni hadi kazi zao???hatari hii
umeona eeh muache atupe umaarufu nnya...!!na anavyotupenda sasa anasoma comments zetu tu...!!
ashukuriwe maana anaongeza idadi ya viewers jf na members
Mmh! Mama ubaya na wewe toka lini ukawa na ushoga na zari? Nfyuu kujipendekeza tu ngoja mwenye shoga sintah akusikie, Dinazarde mwenzangu apa siku yeyote tujiandae kuchambwa hawa mbwa soon watarudiana tutakomaje?
Na atatusoma kila siku akizidiwa ajiungeeeee jf
anajipa moyo eti nna maudaku ningekua jf ningekua makamu wa warumi halooooowww
warumi ana shda ya makamu kwani?au kujipendekeza tuuuu
Mim huyu huyu msukuma mkokoteni nimeridhika nae binam sitak mapedejeeee
Hahahahaha yani nimecheka sana binamu.Yeye anaona kapata kwa hizo sato na sangara wakati wenzake wanakula good time.Ungemtafutia may be sasa hivi angekuwa kaishabadilisha kale kavitz kake