Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Ah ah ah wanaosoma journalism ..siongezi neno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu demu amekua na miaka 30 kwa muda wa miaka ishirini, nadhani amevunja rekodi ya dunia kubakia kwenye umri mmoja kwa kipindi kirefu
 
Sijuwi nimechelewa wapi kukufamu nahisi ningekuwa mmoja kati ya walio kifungua kipochi manyoya chako.
 
Daaa nani ameturoga? Yaani 20s unajiona mtoto kwa hiyo unaona sawa wema kufanya anayofanya.wakati 20s wenzetu wazungu wanawaza kugundua vitu vya maana,halafu wewe at 20s unawaza kugundua staili za kugegedana.
 
Huyu demu amekua na miaka 30 kwa muda wa miaka ishirini, nadhani amevunja rekodi ya dunia kubakia kwenye umri mmoja kwa kipindi kirefu

Hivi mtu kama huyo anawezaje kudanganya umri wake? Huyu amekuwa Miss TZ nafikiri hivyo kila kitu kipo wazi!
 
Msamaha uliandaliwa kabisa maana alikua anasoma du hii kiboko
 
Malaya ni malaya tu clip atume mwenyewe halafu aombe msamaha mwenyewe,ccm woyeee
 
Daaa nani ameturoga? Yaani 20s unajiona mtoto kwa hiyo unaona sawa wema kufanya anayofanya.wakati 20s wenzetu wazungu wanawaza kugundua vitu vya maana,halafu wewe at 20s unawaza kugundua staili za kugegedana.

Inategemea na maisha uliokulia na wapi, kijijini miaka 20 tayari mama na ana familia, town 20 hajitambui vizuri bado, tunao wengi tu kitaa.
 
Hivi mtu kama huyo anawezaje kudanganya umri wake? Huyu amekuwa Miss TZ nafikiri hivyo kila kitu kipo wazi!
Mkuu wewe ni mgeni Tanzania? hao wanaogombea miss Tanzania, wengine wameolewa wakaachika achilia mbali umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…