Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema that's too fake, too childish and a lot of stupidity within it.. Unapenda kiki n you don't care how you get it... Leo umekuwa ndio mada mitandaoni na umejitokeza kwenye press conference kuomba radhi.. Hapo umejisikia vizuri sana.... But think again about your future.. Matukio huacha kumbukumbu... Matukio hayafi... Ipo siku utayajutia haya maisha
 
Hivi hawa watangazaji mbona wanajidhalilisha hivi
Press conference kwa ajili ya upuuzi wake
Mungu amsamehe kwa kweli ila na hawa watu wajitathmini na mambo wanayoyafanya
Yaani yeyote anaefanya upuuzi anawaita na nyie mbio
 
Watu wa aina yake Mara nyingi huishia kujiua tuu.
Ukifika mahali unatamani wakukutia na kila mtu hana hamu juu yako ndio atanielewa nasema nini.
Mshana shida kubwa ni mama yake, najiuliza Balozi (marehemu) alipendea nini enzi hizo hapo? Kukosa maadili hakuji uzeeni bali ni mchakato. Au Mzee Ibra alikula ooo?
 
Mimba za bahati mbaya na malezi ya upande mmoja pia vinaweza kuchangia sana
 
Dunia inafurahisha sana, Eti Wema naye anaita press Conference naona anataka kututambulisha kwa Danga lake jipya..
hahahaha kwani nani anatakiwa kuwaita wana habari? hahahaha Zitto angeitisha asingepata mtu hapo hahaha
Nampongeza Wema kwa kuomba radhi
 
Maskini dada wa watu! Pole Wema watakusamehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…