Wema Sepetu amwokoa Kajala, atoa milioni 13 kumnusuru

Serious alichofanya Wema ni kikubwa tena sana.

Wakati watu wote hawapo, wema kajitokeza, a true friend.

Nadhani huu ni mzigo kwa Kajala sana, maana kuna kitu mtu anakufanyia inabidi uwe unatabasamu hata anapokuudhi.

Nadhani kuna saa hatumwelewi Wema sababu ya mapungufu yake, lakini anaonekana ni rafiki wa kweli kwa marafiki zake.

Hata Jokate nadhani ndio alianza bifu na Wema baada ya kumwibia Dayamond wake.

Reactions: EMT

Mweeee! There she goes my girl Wema. Wenye bifu nae sasa kimyaa kama maji ya mtungu vile.

Halafu Nyani Ngabu anasema eti milioni 13 kibongo bongo si ndogo wakati nusu yake ni shopping ya mbwa tuu?

Peza za Wema hazitokani na kubeba maboksi ati. lol

Mbwa wake amewabatiza majina gani?
 
Kama anajitangaza hajasaidia , kanunua ad space tu.

Tunaosaidia na kujua maana ya kusaidia hata huwezi kutusikia tunajitangaza kwa majina.
 
Wema anakimbiza sana,Sintah alikuwa anamchukia live ila mwenyewe amemkubali. Kwanza Wema ana moyo usio wa korosho, muwazi, hanaga mabifu ya kipumbavu. Yani roho yake laini kama sauti yake.

Mbwa amewapa majina ya kizungu bwana siyakumbuki vizuri. Mbwa wa Uwoya ndio alikuwa anaitwa Dalas, na walikubaliana mbwa wa Wema aolewe na mbwa wa Uwoya anayeitwa Dalas. Chezeya wewe. Binadamu sie tuna mambo na vijambo.
 
Reactions: EMT
Hahahaha shopping ya mbwa vifaa vimeagizwa China. Thamani yake ni mitaji ya biashara za watu mjini jaman. Hii ya wema ni a.k.a iga ufe EMT
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
jina lake ni haki yake yake kabisa.
 
Hahahaha shopping ya mbwa vifaa vimeagizwa China. Thamani yake ni mitaji ya biashara za watu mjini jaman. Hii ya wema ni a.k.a iga ufe EMT

Ajaribu kucheki na Nyani Ngabu ili awe anamfanyia shopping ya mbwa wake moja kwa moja kutoka States.

Si unajua tena bidhaa za Kichina sometimes ni za kuchakachuliwa?

Apate kitu original kutoka States kwa afya ya mbwa wake bana.

Pesa si ipo?
 
Kajara katoka? Huyu demu namkubali sana kwa kuwaàmemaliza matatizo ngoja nianze kumyatia...
 
Huyo furry child inabidi aletwe States moja kwa moja kwa ajili ya shopping la nguvu pamoja na routine/annual physical la nguvu pale Dunwoody Veterinary Center.

Si unajua kuna hadi dental care ya mbwa na paka....cheki HealthyPet.com
 
Reactions: EMT
Wema anakimbiza sana,Sintah alikuwa anamchukia live ila mwenyewe amemkubali. Kwanza Wema ana moyo usio wa korosho, muwazi, hanaga mabifu ya kipumbavu. Yani roho yake laini kama sauti yake.

Hivi kweli ule mjengo wa milioni 400 ni wa kwake na bado anaishi hapo?
 
Kajara katoka? Huyu demu namkubali sana kwa kuwaàmemaliza matatizo ngoja nianze kumyatia...

Shopping ya mbwa wake wawili ni kama milioni 6 hivi na huwa inafanywa China?

Kwa hiyo kabla ya kuanza kunyatia uwe na kitita cha kutosha maana kuna mbwa wake mmoja anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni na itahitajika bonge la shopping.

Usije ukatuaibisha bana.
 
Kwabiashara ipi iliyowazi.
 
Nyani Ngabu na EMT mmeniumiza sana nafsini

Nna mbwa wawili na paka wanne, sina hakika kama bajeti yao inazidi laki kwa mwezi, nayo ni basic needs kama chakula na chanjo.
 
Last edited by a moderator:
Millioni 13! Nyingi sana......
Hivi anafanya nini huyu Wema....hadi aingize mkwanja mrefu kirahisi hivi...
 
Na amefanikiwa sana

Ame-make headlines mno leo.
Kuliko hata angejitangaza kwenye TV's

Kama anajitangaza hajasaidia , kanunua ad space tu.

Tunaosaidia na kujua maana ya kusaidia hata huwezi kutusikia tunajitangaza kwa majina.
 
Kama anajitangaza hajasaidia , kanunua ad space tu.

Tunaosaidia na kujua maana ya kusaidia hata huwezi kutusikia tunajitangaza kwa majina.

Mtani, charity goes with publicity, as a promotional tools for her proffessional carrier.
 
Nyani Ngabu na EMT mmeniumiza sana nafsini

Nna mbwa wawili na paka wanne, sina hakika kama bajeti yao inazidi laki kwa mwezi, nayo ni basic needs kama chakula na chanjo.

Hapo kuna umuhimu wa kuwajulisha animal rights group waje kuwachukua hao mbwa na paka.

Nikilinganisha na mbwa wa Wema, hao mbwa wako huwatendei haki kabisa.

Eti laki moja kwa mwezi? This is so unfair na inabidi upigwe ban ya kumiliki mnyama yoyote.

Ndo maana twiga na tembo wetu wako katika hali mbaya kwa sababu ya watu kama nyie.

Ndo maana niligoma kukuuzia huyu mnyama. Hufai Kabisaaaaa.

Huyu mbwa bora kucheki na Wema nae akafanyiwe shopping China.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…