Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw
Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza
Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw, kumfunga
Maana Yanga akitoa draw atakua na pointi 8 ambapo Mazembe anazipita kirahisi tu kwa kumfunga Bamako akiwa Mali na kumfunga Yanga huko DRC
Mazembe kabadilika sana na alibaki kidogo amfunge Monastir Tunisia