Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw
Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza

Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw, kumfunga

Maana Yanga akitoa draw atakua na pointi 8 ambapo Mazembe anazipita kirahisi tu kwa kumfunga Bamako akiwa Mali na kumfunga Yanga huko DRC
Mazembe kabadilika sana na alibaki kidogo amfunge Monastir Tunisia

Screenshot_20230318-112406.png
 
Mazembe kumfunga Bamako kwao sio rahisi .....basi sawa mpira unadunda
Cheki stats za Monastir vs Mazembe, Mazembe hapa alikuwa ugenini na alimpelekesha Monastir hivi

Mashuti 19 ambayo 6 yalilenga lango, golikipa alifanya Saves 6

Kwa Bamako itakuwaje?
Screenshot_20230318-112544.png
 
Simba 1-1 horoya, Yanga 3-1 Monastir, kama hutaki basi ww ni askari wa zenji
 
Yanga kapita, kibarua kizito kipo kwa wanathimba.

Mazembe game alizobaki nazo hashindi hata moja eidha ata droo zote au atafungwa mechi moja(na si nyingine ni ile atayokua home).
Akijitahidi saana basi atashinda moja tu na nyingine anapigwa .

Afanye afanyavyo haondoki na points zaidi ya 3 kwa mechi zilizobaki.

Source: Trust me bro..
 
🚮
 
Back
Top Bottom