Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Cheki stats za Monastir vs Mazembe, Mazembe hapa alikuwa ugenini na alimpelekesha Monastir hiviMazembe kumfunga Bamako kwao sio rahisi .....basi sawa mpira unadunda
badae hatutaki lawama oooh boko angepata lile goli tungeenda hahahah leo mnapigwa 2Horoya lazima afungwe iwe kwa mpira ua hila
Awapibadae hatutaki lawama oooh boko angepata lile goli tungeenda hahahah leo mnapigwa 2
Kocho weweSimba 1-1 horoya, Yanga 3-1 Monastir, kama hutaki basi ww ni askari wa zenji
🚮Yanga kapita, kibarua kizito kipo kwa wanathimba.
Mazembe game alizobaki nazo hashindi hata moja eidha ata droo zote au atafungwa mechi moja(na si nyingine ni ile atayokua home).
Akijitahidi saana basi atashinda moja tu na nyingine anapigwa .
Afanye afanyavyo haondoki na points zaidi ya 3 kwa mechi zilizobaki.
Source: Trust me bro..
Ukweli mchungu