Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

Wengi hawajaielewa kauli ya Dkt. Ally Bashiru kuhusu CCM kutumia faida ya kuwa na dola kuendelea kubaki madarakani

kirengased, Hawa watu wanafahamu kila kitu ila wanajitoa ufahamu kuutetea upuuzi wowote ilimradi tu umetoka kwa wale waliowapa ulaji.

Hivyo basi hata mtoa mada anafahamu fika alichomaanisha Bashiru lakini kwakuwa kazi yake aliyopewa ni kutetea kila kitamkwacho either kwa bahati mbaya au kwa makusudi lazima awatetee walinda ulaji wao.

Tatizo linakuja pale wanapojaribu kulazimisha mawazo yao ya kipuuzi kwa wenye mitizamo tofauti na upuuzi wao.
 
Wewe acha kujidharirisha una upopoma sana sio kila mtu a elewa ulivoelewa wewe sisi watanzania sio wajinga kiasi hiko sema tu sisi tulichokosa ni hiyo dora yenu, bunduki, vifaru, makombora, mabomu.
Exactly
 
Acha ujinga wewe kwani bashiru aliongea lugha kisomali hadi tusimuelewe mpaka wewe uje utelete tafsiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo ushaharibu! Waziri Kabudi yuko Washington DC anatoa commitment, we ushamwa ( 640 X 640 ).jpg

2316889_FB_IMG_1582491848963.jpg
 
Hata dk Bashiru kasema hivyo hivyo...ukiwa na hizo zana..ukifail ni uzembe wako coz mshindani wako anatumia tu maneno na weaknesses zako kukunyanganya hizo zana, which is practically very hard
 
Kwahiyo katika watu milioni 45 Tanzania nzima umemuelewa ww pekeyako bashiru kushinda wote waliobakia basi ww ni hodari kama ww unauwelea kushinda hata wazazi wako waliona jua mwanzo kuliko ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo katika watu milioni 45 Tanzania nzima umemuelewa ww pekeyako bashiru kushinda wote waliobakia basi ww ni hodari kama ww unauwelea kushinda hata wazazi wako waliona jua mwanzo kuliko ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo takwimu ya kuwa wote wameelewa kama wewe tofauti na jamaa umeitoa wapi?

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Wanasiasa wameelewa...Dk ni Mwalimu na hawezi kukupa nyama na kukusaidia kuitafuna... undercover hawako upinzani tuu..akili kubwa inahitajika kumwelewa Chairman na Katibu wake... opposition are very slow to catch up.
Bashiru ni mweupe kuliko unavyodhani, wadanganyeni wajinga
 
mwana wa Tanzania, 1. Wengine tunaelewa "incumbency advantage" ni nini, kabla hata ya kumsikia Bashiru.

2.Incumbency advantage inaweza kuwa legit. Maana chanya mtu aliyekuwa madarakani anafanya kazi yake vizuri, wananchi wanaona, mpinzani anakuwa hana cha kukosoa, kwenye uchaguzi watu wanamchagua aliye madarakani kwa sababu wameona kafanya vizuri, hata kama mpinzani angeweza kufanya vizuri zaidi. Kiswahili hapa wanasema "Zimwi likujualo, halikuli likakwisha".

Pia aliye madarakani anachagua wanaoongoza Tume ya Uchaguzi, anatoa ruzuku, anateua majaji, mawaziri etc.

Watu washawajua incumbents mazuri na mabaya yao, wanaweza kusema tumewakubali hawa tunaowajua, hao tusiowajua ni fumbo hatutaki kucheza kamari na uongozi wa nchi.

3. Incumbency advantage kwa maana hasi, ndipo hapo incumbents wanatumia vyombo vya dola kudhibiti wapinzani, wanapanga njama na tume ya uchaguzi, wanaiba kura etc.

Tanzania tuna incumbency advantages za aina zote mbili.

Viongozi wanahitaji kuwa waangalifu wakitoa kauli tata, kwa sababu, kuna watu wengi wanachukua maana mbaya kabisa ya kauli. Na mimi hata siwezi kuwalaumu.

Ni wajibu wa viongozi kuwa makini katika kauli, si wajibu wa wananchi kutafuta tafsiri nzuri kabisa ya maneno ya viongozi.

Bashiru kwa kutoa kauli tata kwenye nchi ambayo ishawahi kuwa na wizi wa kura tangu enzi za chama kimoja, nchi ambayo rais anazuia watu wasifanye mikutano ya kisiasa inayoruhusiwa kikatiba, ameji exposed kutafsiriwa kwamba anaongelea incumbency advantage hasi ya wizi wa kura na kutumia vyombo vya dola vibaya.

Na kwa sababu CCM ni kweli hutumia advantage hii, I see this as a Freudian slip.

Somewhere in Bashiru's subconscious mind he wants to communicate to people that CCM is winning by misusing its incumbency to get an unfair advantage in elections.
 
Acha longolongo weweee watanzania wa sasa si wa 47. Unasemaje kuhusu mchakato wa katiba kuwa ni chakula kilicho chacha alikuwa anamaanisha nini na hapo. Hebu tutafsirie kipolitical science.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom