Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

Haya maneno yamekuwa yakisemwa kwa zaidi ya miaka 20. CCM wana wanachama na wadau wengi kuliko chama chochote kile.

Ni silent majority always they show up when they are really needed, huwezi kuwaona wakiwa wamejaa huku mitandaoni.
 
Haya maneno yamekuwa yakisemwa kwa zaidi ya miaka 20. CCM wana wanachama na wadau wengi kuliko chama chochote kile.

Ni silent majority always they show up when they are really needed, huwezi kuwaona wakiwa wamejaa huku mitandaoni.
Kwanza hiyo CCM unayoisema wewe haipo; na usifikiri waTanzania hawalijui hilo.
Kama hilo ndilo linalokupa faraja, tambua kuwa unajidanganya.

Jambo pekee ambalo unaweza kulisema na kuwa sahihi ni kuwa polisi na mitutu ya bunduki ndiyo nguzo pekee iliyobaki.
Na hili nilishakueleza siku nyingi, siyo jambo la kutegemewa. Ni dakika moja tu mambo yanabadilika.

Samia hana wanachama hao unaojivunia hapa; bali analo genge linalotumia mitutu kushikilia madaraka.
 
Mkuu hizi kelele za humu JF zisikudanganye ukadhani upinzani una watu kuliko wale wa CCM.

Upinzani maximum unaweza kuwa na watu milioni 5 nchi nzima, CCM wapo zaidi ya milioni 20 nchi nzima.

Ushahidi wa uwepo wa wingi wa wanaCCM ni pale tarehe 9 desemba mlivyoshindwa kuushawishi umma ukaunga mkono yale mliyoita maandamano, wenye nchi yao ambao ni wengi waliokaa kimya waliamua hakuna tena kufanya ujinga wa kuichafua nchi yetu wenyewe.

Kuna siasa za humu mitandaoni , pia kuna siasa za huko walipo wananchi wa kawaida, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Ushahidi wa uwepo wa wingi wa wanaCCM ni pale tarehe 9 desemba mlivyoshindwa kuushawishi umma ukaunga mkono yale mliyoita maandamano, wenye nchi yao ambao ni wengi waliokaa kimya waliamua hakuna tena kufanya ujinga wa kuichafua nchi yetu wenyewe.
Tafadhali nikumbushe kidogo, kwanini nchi ilikuwa kwenye 'lockdown'' !!!
 
JPM mbona hayupo kwenye kundi la mafisadi, hata watoto wake hawana maisha , hizo pesa kamuachia nani ?

Mkaenda kuzusha mmekuta hela Chato , sijui kama unaelewa kuwa ninaijua system na uwezo wa kifedha wa marais , JK na Samia wakiwa the top kwenye utajiri

Ninajua hata ufisadi wao wanapouficha ughaibuni

JPM hana Mali yoyote nje ya nchi

You should learn to be smart

You are not well informed
 
Niamini dogo, tukiweka open and free election , mark my words CCM hardly kupata 15% orf the total votes, CCM clearly knows that

Huwezi kuniambia unapendwa na unawatu wengi while the sitting present yupo kwenye blooodbath ya wananchi wake , are you stupid ?
 
Kumbe enzile ilikuwa shibe ya madaraka tu sasa hivi na nyie mnalalamika tu
 
Ccm hata 10% hawapati itawashangaza
 
Bloodbath iliyotengenezwa na wanasiasa walioapa kukinukisha?.

Mkuu hao ICC wakija wanaweza kuondoka na Lissu pamoja na Heche kwa zile kauli zao za uchochezi.
 
Baki na imani yako, hakuna wa kukubadilisha.

JPM alikuwa smart sana alijua namna ya kuishi na wanyonge kiasi cha kuaminika kirahisi lakini alikuwa na mali nyingi haswa kwenye biashara ya ujenzi akiwa na hisa kwenye makampuni yanayofanya kazi katika mataifa jirani.

Hizi habari nimeambiwa na mtu wa karibu wa hayati JPM aliyekuwa msaidizi na msiri wake miaka ile ya urais wake.
 
Kama wengi hawampendi, anabakije tena chaguo la wengi?
 
Hawakutoka ! hakuna anayejua walikuwepo. Hivi huoni?
Ukweli ni kwamba CCM ni silent majority ulijionyesha tarehe 9 na 25 desemba pale vijana walio wengi wenye uzalendo na taifa lao walipoamua kwamba hakuna tena mtu atakayeiharibu nchi kizembe tu.

CCM hawapo humu mitandaoni wapo huko mikoani, kwenye vitongoji kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…