Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

Nguvu iliyotumika ililingana na aina vurugu ya siku ile.

ICC wamegundua chanzo cha fujo zile, hawana chochote wanachoweza kufanya.
 
Unayajua madhara ya machafuko yale?. Unajua mpaka leo kuna maelfu ya watu wamepoteza kazi zao na hawajui kesho yao itakuwa vipi?.

Mliingia cha kike kufanya upuuzi ule kwa visingizio eti hata Marekani kuna maandamano, yanakuwepo maandamano halisi sio ule ushenzi wa kuchoma moto vituo vya mwendokasi na maduka ya watu kisa chuki kwa mali walizonazo.

Mnapakatwa nyinyi mnaotunza hasira huku siku zikizidi kupita kwa kasi.
 
Upinzani na wote wanaounga mkono hawazidi watu milioni 5, CCM na wote wanaoiunga mkono wapo zaidi ya watu milioni 20.

Huwezi kuheshimu haki ya raia anayokuja kwa shari akichoma moto vituo vya mwendo kasi na ofisi za CCM ambazo hazina kosa lolote.

Mlijifunza kwa njia ngumu sana, poleni.
 
Tupe takwimu siyo vijembe vya Lumumba
 
Mnataka maandamano ya kupongeza mwenyekiti wa chama?
Haya hayo maandamano HALISI yaliyofanyika ya black lives matter yalikuwaje?

Mauaji mnawafuata hadi waliokuwa nyumbani?

Kusaliti jamii yako huwezi shindwa kusaliti jinsia yako. Machawa MNAPAKATWA
 
Yale ya October 29 hayakuwa maandamano lilikuwa jaribio la mapinduzi, vijana wote waliokamatwa siku ile walipewa kesi ya uhaini.
 
Kuwapiga na kuwavunja miguu wananchi walioenda kusikiliza KESI ya mchongo ya Lissu ni sawa?

Kuwateka na kuwapoteza akina Mdude Nyagali, Polepole. Kuwateka na kuwafira akina Boniface Mwangi ndio kuheshimu haki za wananchi?
 
Yale ya October 29 hayakuwa maandamano lilikuwa jaribio la mapinduzi, vijana wote waliokamatwa siku ile walipewa kesi ya uhaini.
Usifananishe jaribio la mapinduzi na vitu vya ajab ajab. Hamna jaribio mle

Mapinduzi hayafanyiki bila wahusika kuwa na silaha, kujipanga.
 
Yale ya October 29 hayakuwa maandamano lilikuwa jaribio la mapinduzi, vijana wote waliokamatwa siku ile walipewa kesi ya uhaini.
Mapinduzi yanayofanywa na vijana wasiokuwa hata na panga?
Mlimpa kesi ya uhaini Tundu Lissu na Mbowe mlimpa kesi ya ugaidi halafu mnamualika gaidi ikulu?

Marekani walipomtangaza Osama bin laden kuwa ni gaidi walimualika White House?

Nyie machawa mmesaliti jamii yenu ndio maana mnasaliti hadi jinsia zenu.

MNAPAKATWA
 
Marekani na Tanzania zinafanana siasa zake?.

Uhaini ni tendo lolote lenye lengo la kuipindua serikali inayokuwepo madarakani, ukileta vurugu siku ya uchaguzi mkuu kwa lengo la kutaka usifanyike unatenda uhaini.

Mnachokiweza chawa wa Lissu na Heche ni matumizi ya matusi, huwa hamuwezi kudhibiti hasira zenu.
 
Usifananishe jaribio la mapinduzi na vitu vya ajab ajab. Hamna jaribio mle

Mapinduzi hayafanyiki bila wahusika kuwa na silaha, kujipanga.
Wale wa Sri Lanka walikwenda mpaka ikulu wakiwa hawana silaha zozote za maana, wa kwetu waliiga akili zile.
Kuwapiga na kuwavunja miguu wananchi walioenda kusikiliza KESI ya mchongo ya Lissu ni sawa?

Kuwateka na kuwapoteza akina Mdude Nyagali, Polepole. Kuwateka na kuwafira akina Boniface Mwangi ndio kuheshimu haki za wananchi?
Ukimtukana Rais wa Nchi unayatukana mamlaka yake akiwa mkuu wa dola ya Tanzania.

Unaweza kukutana na mabaya kutoka kwa watu usiowafahamu.
 
Wale wa Sri Lanka walikwenda mpaka ikulu wakiwa hawana silaha zozote za maana, wa kwetu waliiga akili zile.

Ukimtukana Rais wa Nchi unayatukana mamlaka yake akiwa mkuu wa dola ya Tanzania.

Unaweza kukutana na mabaya kutoka kwa watu usiowafahamu.
Sri lanka unajua chanzo chake? Unaongea nini bro aisee

Ikifika mahali vikosi vya ulinzi na usalama vinaunga mkono waandamanaji ni kwamba viongozi wamefeli

Hapa tz waliungwa mkono na taasis za ulinzi na usalama?
 
sasa kama wewe ni tahira kwa nini una waita wengine wajinga kisa wana mtazamo tofauti na utahira wako
Ni wapi nimesema mimi ni taahira.
Hivi kichwani zinakutosha kweli.

Na wewe ni nguruwe kama hao wengine wanaofugwa na Samia Mhalifu?
 
Wale wa Sri Lanka walikwenda mpaka ikulu wakiwa hawana silaha zozote za maana, wa kwetu waliiga akili zile.

Ukimtukana Rais wa Nchi unayatukana mamlaka yake akiwa mkuu wa dola ya Tanzania.

Unaweza kukutana na mabaya kutoka kwa watu usiowafahamu.
Samia kwa sasa hawezi kuwa na silaha zenye uwezo wa kumpa kinga baada ya uhalifu alioufanya; huko kudhani mitutu inayomzunguka ni ulinzi kwake ni udanganyifu mkubwa hata yeye mwenyewe analijuwa hilo.
Kama walivyo wahalifu wote duniani, ni lazima awajibishwe kwa uhalifu aliowafanyia waTanzania

Samia hana mamlaka, ni Jambazi lililopora madaraka kwa nguvu, na wananchi watalishughulikia kama majambazi wengine wote.

Unajipa faraja hapa itakayoyeyuka ndani ya dakika moja tu. baada ya tukio.
 
Kila masika hayakosi mbu.
Vita ya Iran kwa namna moja au nyingine inatupunguzia mzigo hapa; na fursa hiyo hatutaipoteza kamwe.

Hizo takataka zako hazina maana tena, unajipigia tu mradi uonekane upo kazini.

Hii kazi ya kujitia wenda wazimu vichwani mwenu inawashushia heshima ndani ya jamii.
 
Samia yupo mpaka 2030 Mungu akitupa uhai.
 
Huujui ujambazi, ule anaoufanya Trump kule Venezuela na Iran ndio ujambazi halisi, hajali sheria za kimataifa anatoka US anakwenda kufanya vurugu kwenye mataifa yasiyo na hatia yoyote.

SSH aliwanyoosha wapuuzi waliomletea dharau wakidhani mamlaka yake yanaanza na kuishia kwenye ushungi anaouvaa kila anapokwenda mahali fulani.
 
Samia yupo mpaka 2030 Mungu akitupa uhai.
Nilishakueleza mara kadhaa; ngoja nirudie tena huenda safari hii itagonga akili ndogo iliyomo fufvuni mwako.

Samia ni mhalifu; hilo ndilo swala muhimu unalopaswa kulifahamu kabla ya mengine yote.

Swala la muda mhalifu kuwajibishwa, siyo yeye mhalifu, au wewe nguruwe wake mtakaoamua iwe lini.
Endeleeni kuishi hivyo hivyo kila sekunde inayopita hamjui kama mtabaki salama.

Usiniandikie upuuzi tena.
 
Hayo ya Trump yanawahusu wajomba zenu.

Tunachoshukuru tu ni kwamba hali hiyo itatupa mwanya mzuri wa kurekebisha hapa kwetu kwa kuwawajisha wahalifu wa hapa hapa.
Si ajabu hata mkakosa mahali pa kukimbilia, na ikawalazimu kwenda Uganda au Burundi. Maana sioni kwingine kokote mnakoweza kukimbilia, labda Comoro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…