Kwani Tutu ndio kipimo?
1. Kama kipimo ni wewe si unasema? Tutakiheshimu ndugu, tamka tu!
2. Kwani hayo yako ya Tutu kuwa kipimo hata umeyaokota wapi ndugu kipimo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Tutu ndio kipimo?
Hiv vita Kati ya Israel na Palestine na kutaka nani atambuliwe ni taifa au ni kati ya waarabu na Jews?Ni aje waungwana,
Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata mmoja.
Ndugu waungwana hapa jukwaani kuna watu wanashangaza sana, kwa kukimbilia kuishambulia SA kutokana na kitendo chao cha kufungulia Israel kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya raia wasiokuwa na hatia, kina mama, watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, vilema, vizee nk.
Washambuliaji hawa wa mitandaoni haswa hapa JF ambao wengi wao wanaongozwa na kundi la wayahudi wa huko chato na nachingwea, wameshindwa kujua sababu haswa zilizopelekea nchi hiyo ya ki afrika kujiingiza katika swala hilo na ukizingatia nchi hiyo ina asilimia ndogo sana ya wavaa kobaz ambao hata hao kidogo wenyewe hawapo serikalini na wala hawana maamuzi yoyote ndani ya serikali, chama tawala wala vile vya upinzani.
Swala hili limewaunganisha wa afrika kusini wote akiwemo mwanasiasa machachari Julius Malema, tena bila kujali utofauti wa vyama vyao.
Na sababu kuu za kuichukia na kuichukulia hatua za kuishtaki kwa ukatili Inayofanya Gaza ni hizi:
1. Afrika kusini ni moja kati ya nchi ambazo zilipitia changamoto kubwa ya kutawaliwa kimabavu, kufungwa bila hatia, kuadhibiwa bila kosa, na wengine kuuwawa kwa sababu ya kudai uhuru wao, ardhi yao na haki zao. Hili walilopitia waafrika kusini ndio wanalilopitia wapalestina kwa zaidi ya miaka 70. Hivyo waafrika kusini wanajua na kufahamu machungu wanayopitia wapalestina kule kwao.
Hili swala la watu wanaojaribu kutumia nguvu kudai haki zao walizonyimwa kwa zaidi ya miaka 70 kuitwa magaidi na nchi za magharibi (Hamas) hata wao wa afrika kusini walikumbana nalo hadi kupelekea baadhi ya vijana na wanachama wa anc kukimbilia Tanzania, Zambia, Zimbabwe na kwengineko ili kukwepa mkono wa sheria wa wazungu ambao waliwaona na kuwaita wapigania uhuru na haki zao, tena katika nchi yao wenyewe kuwa ni magaidi.
2. Pili wakati wa ubaguzi wa rangi, Israel ilikuwa ni moja ya nchi ambazo zilisupport utawala wa kibaguzi wa rangi, lakini pia makaburu wengi walienda Israel kusomea mbinu za kijeshi za kuja kupambana na vijana weusi wa afrika kusini bure bila malipo yoyote kwa wayahudi.
Yaani kwa kiswahili chepesi tunaweza kusema kuwa Israel ndio ilikuwa unadhamini askari hao kwenda kujifunza ukatili katika nchi yao ili waje wauwe wenzao kwa sababu tu ya utofauti wa kirangi nk.
Unaweza ukajiuliza inakuaje nchi nyingi zifanye ukatili na Afrika kusini isiguswe wala kufuatilia ukatili huo, lakini huu wa Israel umewagusa. Na hiyo ni kwa sababu ya historia ya kile walichowanyia kupitia makaburu na kilichowatokea.
Afrika kusini ni nchi kubwa hivyo haiwezi kukurupuka tu kuanza kuichukia nchi nyingine tena ya mbali na mipaka yake bila sababu na ukizingatia nchi wanayoitetea ni ya kiarabu wakati wao sio waarabu, ni ya kiislamu wakati wao 95% sio waislamu.
Yani kwao ni bora hata baadhi ya nchi za kizungu zilionesha kuwasaidia na kuguswa na mateso waliyokuwa wanapitie enzi zile moja ya nchi hiyo ni Denmark kuliko Israel ambayo ilikuwa upande wa wazungu ili wawaangamize na kuwauwa wazawa.
Nina imani kama kungekuwa na ukaribu fulan wa kimipaka, basi wazee wa kazi wangepenyeza silaha kadhaa kwa Hamas ili kulipiza kisasi ya kile walichofanyiwa na wayahudi enzi hizo 😄😄😄
Wale wenye akili zilizojaa kichwa karibuni mjadili ki akili ili wale wasiofahamu sababu ya ufunguaji wa kesi waweze kufahamu na kujifunza. Lakini pia na wale watakaokuja kucheuwa povu lao kama mdomo wa kinda la ndege mnaruhusiwa kwa sharti la kutotukana watu hovyo.
Mbona unaongea mambo ya kitoto kaka. Mimi nilikuwa nakuchukulia kuwa wewe ni mmoja wa great thinker ambae hawezi kuandika kitu bila kushirikisha akili yake kwanza. Lakini sasa unanishangaza mkuu kwa kuuliza swali ambalo hata mtu aliejiunga leo JF hauwezi kuuliza baada ya kusome thread vizuri.Kwahy SA ndio wenye uchungu zaidi kwa Palestina zaidi ya nchi za kiarabu.?
Nimesoma nikaishia hapo, hilo ndilo jambo la muhimu kuliko hayo mengine 😎Mbona unaongea mambo ya kitoto kaka. Mimi nilikuwa nakuchukulia kuwa wewe ni mmoja wa great thinker ambae hawezi kuandika kitu bila kushirikisha akili yake kwanza.
Kenge kweli!Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao,
Hizi dharau sasa🤣🤣 kama vipi ID zionyeshe detail ya kiwango cha Elimu kisha majukwaa yatengwe kwa level za elimu.m au akili.
Point #1 kwani walitawaliwa na Taifa gani?Ni aje waungwana,
Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata mmoja.
Ndugu waungwana hapa jukwaani kuna watu wanashangaza sana, kwa kukimbilia kuishambulia SA kutokana na kitendo chao cha kufungulia Israel kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya raia wasiokuwa na hatia, kina mama, watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, vilema, vizee nk.
Washambuliaji hawa wa mitandaoni haswa hapa JF ambao wengi wao wanaongozwa na kundi la wayahudi wa huko chato na nachingwea, wameshindwa kujua sababu haswa zilizopelekea nchi hiyo ya ki afrika kujiingiza katika swala hilo na ukizingatia nchi hiyo ina asilimia ndogo sana ya wavaa kobaz ambao hata hao kidogo wenyewe hawapo serikalini na wala hawana maamuzi yoyote ndani ya serikali, chama tawala wala vile vya upinzani.
Swala hili limewaunganisha wa afrika kusini wote akiwemo mwanasiasa machachari Julius Malema, tena bila kujali utofauti wa vyama vyao.
Na sababu kuu za kuichukia na kuichukulia hatua za kuishtaki kwa ukatili Inayofanya Gaza ni hizi:
1. Afrika kusini ni moja kati ya nchi ambazo zilipitia changamoto kubwa ya kutawaliwa kimabavu, kufungwa bila hatia, kuadhibiwa bila kosa, na wengine kuuwawa kwa sababu ya kudai uhuru wao, ardhi yao na haki zao. Hili walilopitia waafrika kusini ndio wanalilopitia wapalestina kwa zaidi ya miaka 70. Hivyo waafrika kusini wanajua na kufahamu machungu wanayopitia wapalestina kule kwao.
Hili swala la watu wanaojaribu kutumia nguvu kudai haki zao walizonyimwa kwa zaidi ya miaka 70 kuitwa magaidi na nchi za magharibi (Hamas) hata wao wa afrika kusini walikumbana nalo hadi kupelekea baadhi ya vijana na wanachama wa anc kukimbilia Tanzania, Zambia, Zimbabwe na kwengineko ili kukwepa mkono wa sheria wa wazungu ambao waliwaona na kuwaita wapigania uhuru na haki zao, tena katika nchi yao wenyewe kuwa ni magaidi.
2. Pili wakati wa ubaguzi wa rangi, Israel ilikuwa ni moja ya nchi ambazo zilisupport utawala wa kibaguzi wa rangi, lakini pia makaburu wengi walienda Israel kusomea mbinu za kijeshi za kuja kupambana na vijana weusi wa afrika kusini bure bila malipo yoyote kwa wayahudi.
Yaani kwa kiswahili chepesi tunaweza kusema kuwa Israel ndio ilikuwa unadhamini askari hao kwenda kujifunza ukatili katika nchi yao ili waje wauwe wenzao kwa sababu tu ya utofauti wa kirangi nk.
Unaweza ukajiuliza inakuaje nchi nyingi zifanye ukatili na Afrika kusini isiguswe wala kufuatilia ukatili huo, lakini huu wa Israel umewagusa. Na hiyo ni kwa sababu ya historia ya kile walichowanyia kupitia makaburu na kilichowatokea.
Afrika kusini ni nchi kubwa hivyo haiwezi kukurupuka tu kuanza kuichukia nchi nyingine tena ya mbali na mipaka yake bila sababu na ukizingatia nchi wanayoitetea ni ya kiarabu wakati wao sio waarabu, ni ya kiislamu wakati wao 95% sio waislamu.
Yani kwao ni bora hata baadhi ya nchi za kizungu zilionesha kuwasaidia na kuguswa na mateso waliyokuwa wanapitie enzi zile moja ya nchi hiyo ni Denmark kuliko Israel ambayo ilikuwa upande wa wazungu ili wawaangamize na kuwauwa wazawa.
Nina imani kama kungekuwa na ukaribu fulan wa kimipaka, basi wazee wa kazi wangepenyeza silaha kadhaa kwa Hamas ili kulipiza kisasi ya kile walichofanyiwa na wayahudi enzi hizo 😄😄😄
Wale wenye akili zilizojaa kichwa karibuni mjadili ki akili ili wale wasiofahamu sababu ya ufunguaji wa kesi waweze kufahamu na kujifunza. Lakini pia na wale watakaokuja kucheuwa povu lao kama mdomo wa kinda la ndege mnaruhusiwa kwa sharti la kutotukana watu hovyo.
Acha kuandika upuuzi ndugu yangu, kama wangekuwa hawawataki leo hii nchi ile ingakuwa haina mgeni mweusi hata mmoja.South Africa hapo hawawataki watu toka nchi za Afrika kama Tanzania, pamoja na juhudi zote za kuwasaidia kwenye vita vya ukombozi. South Africa hao hao, walitaka kujitoa ICC, kisa Putin alitaka kwenda kwao, na wao walitaka wasimshike. Hizi ni Siasa tu.
KikiSouth Africa hapo hawawataki watu toka nchi za Afrika kama Tanzania, pamoja na juhudi zote za kuwasaidia kwenye vita vya ukombozi. South Africa hao hao, walitaka kujitoa ICC, kisa Putin alitaka kwenda kwao, na wao walitaka wasimshike. Hizi ni Siasa tu.
Myahudi usiejua hata kuandika. Wewe utakuwa myahudi wa Nachingwea porini kabisa ambapo hakuna hata shule.Wapalestina nimbwa towachawafe wanarohoo mbayasana walewachewafe ningekua mimi raisi
Wa islaeliwaleningewaua kwasumuwafe kizazikizima walenimbwa
Afrika kusini ilitawaliwa na UK ambao wanaongea kingereza, pamoja na Uholanzi ambao wanaongea akrikans.Point #1 kwani walitawaliwa na Taifa gani?
Ni aje waungwana,
Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata mmoja.
Ndugu waungwana hapa jukwaani kuna watu wanashangaza sana, kwa kukimbilia kuishambulia SA kutokana na kitendo chao cha kufungulia Israel kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya raia wasiokuwa na hatia, kina mama, watoto wachanga wenye umri wa chini ya miaka mitano, vilema, vizee nk.
Washambuliaji hawa wa mitandaoni haswa hapa JF ambao wengi wao wanaongozwa na kundi la wayahudi wa huko chato na nachingwea, wameshindwa kujua sababu haswa zilizopelekea nchi hiyo ya ki afrika kujiingiza katika swala hilo na ukizingatia nchi hiyo ina asilimia ndogo sana ya wavaa kobaz ambao hata hao kidogo wenyewe hawapo serikalini na wala hawana maamuzi yoyote ndani ya serikali, chama tawala wala vile vya upinzani.
Swala hili limewaunganisha wa afrika kusini wote akiwemo mwanasiasa machachari Julius Malema, tena bila kujali utofauti wa vyama vyao.
Na sababu kuu za kuichukia na kuichukulia hatua za kuishtaki kwa ukatili Inayofanya Gaza ni hizi:
1. Afrika kusini ni moja kati ya nchi ambazo zilipitia changamoto kubwa ya kutawaliwa kimabavu, kufungwa bila hatia, kuadhibiwa bila kosa, na wengine kuuwawa kwa sababu ya kudai uhuru wao, ardhi yao na haki zao. Hili walilopitia waafrika kusini ndio wanalilopitia wapalestina kwa zaidi ya miaka 70. Hivyo waafrika kusini wanajua na kufahamu machungu wanayopitia wapalestina kule kwao.
Hili swala la watu wanaojaribu kutumia nguvu kudai haki zao walizonyimwa kwa zaidi ya miaka 70 kuitwa magaidi na nchi za magharibi (Hamas) hata wao wa afrika kusini walikumbana nalo hadi kupelekea baadhi ya vijana na wanachama wa anc kukimbilia Tanzania, Zambia, Zimbabwe na kwengineko ili kukwepa mkono wa sheria wa wazungu ambao waliwaona na kuwaita wapigania uhuru na haki zao, tena katika nchi yao wenyewe kuwa ni magaidi.
2. Pili wakati wa ubaguzi wa rangi, Israel ilikuwa ni moja ya nchi ambazo zilisupport utawala wa kibaguzi wa rangi, lakini pia makaburu wengi walienda Israel kusomea mbinu za kijeshi za kuja kupambana na vijana weusi wa afrika kusini bure bila malipo yoyote kwa wayahudi.
Yaani kwa kiswahili chepesi tunaweza kusema kuwa Israel ndio ilikuwa unadhamini askari hao kwenda kujifunza ukatili katika nchi yao ili waje wauwe wenzao kwa sababu tu ya utofauti wa kirangi nk.
Unaweza ukajiuliza inakuaje nchi nyingi zifanye ukatili na Afrika kusini isiguswe wala kufuatilia ukatili huo, lakini huu wa Israel umewagusa. Na hiyo ni kwa sababu ya historia ya kile walichowanyia kupitia makaburu na kilichowatokea.
Afrika kusini ni nchi kubwa hivyo haiwezi kukurupuka tu kuanza kuichukia nchi nyingine tena ya mbali na mipaka yake bila sababu na ukizingatia nchi wanayoitetea ni ya kiarabu wakati wao sio waarabu, ni ya kiislamu wakati wao 95% sio waislamu.
Yani kwao ni bora hata baadhi ya nchi za kizungu zilionesha kuwasaidia na kuguswa na mateso waliyokuwa wanapitie enzi zile moja ya nchi hiyo ni Denmark kuliko Israel ambayo ilikuwa upande wa wazungu ili wawaangamize na kuwauwa wazawa.
Nina imani kama kungekuwa na ukaribu fulan wa kimipaka, basi wazee wa kazi wangepenyeza silaha kadhaa kwa Hamas ili kulipiza kisasi ya kile walichofanyiwa na wayahudi enzi hizo 😄😄😄
Wale wenye akili zilizojaa kichwa karibuni mjadili ki akili ili wale wasiofahamu sababu ya ufunguaji wa kesi waweze kufahamu na kujifunza. Lakini pia na wale watakaokuja kucheuwa povu lao kama mdomo wa kinda la ndege mnaruhusiwa kwa sharti la kutotukana watu hovyo.
Kaka vita sio kitu kizuri, je ulilaani pia Hamas waliporusha makombora mia ngapi sijui kuipiga Israel?!Ni mpumbavu pekee anaye weza kushabikia kinacho fanywa na Israel dhidi ya wapalestina.
Majitu humu yakikatiwa umeme kwa masaa 6 tu yanashinda humu yamekaza shingo na kutoa matusi kwa CCM ila wakati huo yana shangilia dhruma dhidi ya binadamu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi tena Mkuu?Kenge kweli!
Chanzo cha hekima na maarifa ni Bibilia yote yanayotokea yameandikwa kwenye kitabu hicho, kinachoendelea kwa Sasa ni maandalizi ya Amani ambayo Israel nitakuja kufanya na hizo nchi za kiaarabu ndipo baadae Russia pamoja na wafuasi atakuja kuipiga Israeli, katika vita hivyo ismaili(ishara ya kiama) ndie atakuja ukamuaNi mpumbavu pekee anaye weza kushabikia kinacho fanywa na Israel dhidi ya wapalestina.
Majitu humu yakikatiwa umeme kwa masaa 6 tu yanashinda humu yamekaza shingo na kutoa matusi kwa CCM ila wakati huo yana shangilia dhruma dhidi ya binadamu wengine.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani kumhifadhi mtu anaepambania uhuru wa nchi yake kuna tatizo?Na kuhusu SA kuhifadhi viongozi wa Hamas. Hili unalifahamu mtoa mada?
Mkuu tusiangalie ya Hamas pekee, tukumbuke kuwa kabla ya 7 October kulikuwa na uvamizi wa usiku uliyokuwa unafanywa na askari wa Israel katika ardhi ya wapalestina huko West Bank.Kaka vita sio kitu kizuri, je ulilaani pia Hamas waliporusha makombora mia ngapi sijui kuipiga Israel?!