Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

Watu wengi tumekuwa si wakweli, kama umma unaumizwa na utawala wa ccm, Makonda na wengineo, na kama ushahidi upo wa kutosha kwanini hatuwapeleki hawa watu mahakamani ata kesi ifunguliwe tu, tunabaki kupiga kelele siku zote.

Taarifa za mkaguzi mkuu wa Serikali zikitoka pamoja na ushahidi tunaishia kupiga kelele tu, ndio maana wanarudi tena na cycle inaendelea.
We mnafiki......mahakama ipi wapelekwe?
 
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.

Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.

Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.

Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.

Binadamu anayo haki ya kuishi.

Watakao gonga like kwene uzi wako ndo waliokerwa!!

Waliokerwa
Like[emoji1417] ~3
 
We mnafiki......mahakama ipi wapelekwe
Mahakama ya Tz hata za kimataifa ikibidi, unafiki ni kupiga kelele bila kuchukua hatua, haisaidii.

CCM wanaendelea kwasababu wanajua kelele za wabongo hazijawahi kuwa vitendo. Kama ushahidi upo hata kesi ifunguliwe tu
 
Mahakama ya Tz hata za kimataifa ikibidi, unafiki ni kupiga kelele bila kuchukua hatua, haisaidii.

CCM wanaendelea kwasababu za wabongo hazijawahi kuwa vitendo. Kama ushahidi upo hata kesi ifunguliwe tu
Hamna kitu hapa.....we mpiga porojo tu
 
A person holds a publicity kind of portfolio should and must be diplomatic. This guy is none of the above. He is a poor communicator though he talks loudly.

I have heard him talking today, when he was officially launched into the office. You couldn't have seen a public relations person but an authoritarian fellow.

There is still a long path to go towards turning him into publicity arena from an authoritative coocon.
 
Alishindwa jpm wakiwa na makonda ataweza leo akiwa peke yake?
ukichunguza kiuwalisia wanaoshambulia hii teuzi wengi wao wapo kwa maslai ya kutetea ushoga sasa wanahofia uwepo wa teuzi hii utawaangusha kwa kujificha kwenye kichaka cha demakrasia
 
ukichunguza kiuwalisia wanaoshambulia hii teuzi wengi wao wapo kwa maslai ya kutetea ushoga sasa wanahofia uwepo wa teuzi hii utawaangusha kwa kujificha kwenye kichaka cha demakrasia
Endelea na ushoga wako mkuu......sikiliza kauli ya mbunge wa ccm aliyesema baadhi ya wabunge wa ccm ni mashoga.....Nenda Youtube kaangalie Hansard.

Pamnaneni mashoga
 
Binafsi nlikuwa na mama kwny kampeni 2025 ila Kwa uteuzi wa makonda nimeamua nishuke Kwenye basi hilo...makonda huyu huyu..

Huyuhuyu Makonda ndio mwenezi wa chama tawala

Kidumu chama cha mapinduzi

Na yeye anayemhukumu asome signature 👇
 
Back
Top Bottom