Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 6,782
- 14,148
Sasa dada wewe si ndio wifi yangu leo unanikataa shoga yangu?Muazime wifi ako
Duh!!..Kuna kipindi alikuwa anamuita Hussein Bashe "Gaidi la Alshabab na ndilo liko nyuma ya Edward Lowassa kuhamia CHADEMA"
We mnafiki......mahakama ipi wapelekwe?Watu wengi tumekuwa si wakweli, kama umma unaumizwa na utawala wa ccm, Makonda na wengineo, na kama ushahidi upo wa kutosha kwanini hatuwapeleki hawa watu mahakamani ata kesi ifunguliwe tu, tunabaki kupiga kelele siku zote.
Taarifa za mkaguzi mkuu wa Serikali zikitoka pamoja na ushahidi tunaishia kupiga kelele tu, ndio maana wanarudi tena na cycle inaendelea.
Wabongo ni watu wa kunung'unika na kulialia tu, kama una ushahidi wa matendo maovu aliyofanya nenda mahamani, au publish mtandaoni watu waone.Makonda ni zaidi ya shetani
Alishindwa jpm wakiwa na makonda ataweza leo akiwa peke yake?dawa ya chadema ni makonda walahi
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Makonda ni zaidi ya shetani
Mahakama ya Tz hata za kimataifa ikibidi, unafiki ni kupiga kelele bila kuchukua hatua, haisaidii.We mnafiki......mahakama ipi wapelekwe
Wakati wengine wanakumbuka ukatili wake wengine tunakumbuka mema aliyotutendea
"TAFAKARI KWA KINA "
Hamna kitu hapa.....we mpiga porojo tuMahakama ya Tz hata za kimataifa ikibidi, unafiki ni kupiga kelele bila kuchukua hatua, haisaidii.
CCM wanaendelea kwasababu za wabongo hazijawahi kuwa vitendo. Kama ushahidi upo hata kesi ifunguliwe tu
Sisi wananchi tuliochukizwa na uteuzi wake tuko wengi ila kwa mambumbumbu kama wewe si ajabu kumwelewaWapi sisi wananchi tumekuambia kwamba tumechukizwa na uteuzi wa MAKONDA? Tuheshimiane!
Mpiga porojo ni mtu ambaye anatoa shutma na akiulizwa alete ushahidi hana.Hamna kitu hapa.....we mpiga porojo tu
Kuna mahakama au kuna matawi ya CCM?Wabongo ni watu wa kunung'unika na kulialia tu, kama una ushahidi wa matendo maovu aliyofanya nenda mahamani, au publish mtandaoni watu waone.
ukichunguza kiuwalisia wanaoshambulia hii teuzi wengi wao wapo kwa maslai ya kutetea ushoga sasa wanahofia uwepo wa teuzi hii utawaangusha kwa kujificha kwenye kichaka cha demakrasiaAlishindwa jpm wakiwa na makonda ataweza leo akiwa peke yake?
Endelea na ushoga wako mkuu......sikiliza kauli ya mbunge wa ccm aliyesema baadhi ya wabunge wa ccm ni mashoga.....Nenda Youtube kaangalie Hansard.ukichunguza kiuwalisia wanaoshambulia hii teuzi wengi wao wapo kwa maslai ya kutetea ushoga sasa wanahofia uwepo wa teuzi hii utawaangusha kwa kujificha kwenye kichaka cha demakrasia
Binafsi nlikuwa na mama kwny kampeni 2025 ila Kwa uteuzi wa makonda nimeamua nishuke Kwenye basi hilo...makonda huyu huyu..