Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

Si “kusaidiwa” ili yeye na Mke “watimize” majukumu maana ukisema unasaidiwa ni kama mmoja anafanya kwa Hisani

Mke akifanya kazi ni atimize majukumu si kumsaidia mume.
Majukumu yapi hayo anayotakiwa kutimiza mke kwa pesa anayoitafuta??
 
Wewe umeoa? Kama bado mambo ya ndoa yaache yalivyo. Ni case by case hakuna general principle.

N. B. Wanawake ni visirani sana.
 
Anayekataa mke asifanye kazi, lazima atakuwa anajimudu. Wake kufanya kazi kumesambalatisha ndoa na watoto wana malezi yasiyofaa.

Mwache mkeo afanye kazi, wahuni wajimilikishe. Mwanamke ni lazima alindwe, achungwe na asimamie.
 
SIsi wanaume tunapigwa sana vita miaka hii. Haina shida lakini mti wenye matunda ndo hurushiwa mawe.
 
Una uhakika kila mtz anao uwezo wa kuwa na hayo unayosema ?
 
Mleta thread nmefungua kampuni mpya ninatoa nafasi special kwa mkeo mlete tumuajiri mda wa kazi ni 08:am to 17:00pm monday to friday
 
Ishu ni mbili tu.

1: Hofu ya kugongewa. 2: Hofu ya kuzidiwa kipato na mwanamke kujiamini.

Hayo mengine ni vihalalishi tu.
 
Dah Mtibeli umeandika point tupu. Hata mimi wakati naishi uswazi nilikuwa nashangazwa sana na wake za majirani zangu ambao waume zao wana vipato duni... wengi wao utakuta chupi imechakaa balaa hadi huruma inabidi umpe pesa ya kununua nguo za ndani. Kuna mwingine inabidi umnunulie dozen ya chupi maana kila mara unamwona nayo moja. Kila mtu azingatie huu ushauri.
 
Ishu ni mbili tu.

1: Hofu ya kugongewa. 2: Hofu ya kuzidiwa kipato na mwanamke kujiamini.

Hayo mengine ni vihalalishi tu.
Hao wanawake wanaobaki nyumbani ndo wanagongwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…