Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #281
Mwanamke asaidiane na mumewe au sio ?😀
Yaani wanawake hawa wasaidiane na mume zao au wanawake wengine una wazungumzia ?😀
Upo Karne hii kimakosa Mkuu. Kama hujawahi kuona wala kujua pesa za wanawake wenye akili zinafanyia ninindani ya familia.