Bank zote mfumo ni mmoja.....hasa hizi za Kwetu.
Wanatakiwa wakwambie kwa uwazi ili mtu aamue
Kama ulisoma Hesabu Form Four na ukafuzu vizuri utakuwa unajua nini maana ya hizi Fomula ambazo Kamwe Bank hawataziweka wazi.
1. Arithmetic Progression
2. Geometric Progression.
Nitatoa mifano rahisi
a- amount uliyokopa tsh.
100
bank inakwambia utanirejeshe sh 10 kila mwezi unaoongezeka
Maana yake kias unachotaka kuongeza itakuwa
A- amount payable
A=a +Tsh 10 baada ya mwezi mmoja
Baada ya miezi mitatu itakuwa hivi
A3= (A1+10)+ (10% ya A2)
Sasa ukumbuke A2 sio 100 tena bali ni 110 na 10% yake sio 10 bali ni 11%.
So kadiri miezi inavyosonga kiwango cha kurejesha hakipungua bali kinaongezeaka.
This is best explainned by Geometric Progression and Geometrix Sum kwa kuwa Benki wanatumia Asilimia.
Wanakwambia Riba yetu ni 9%.
Umechukua Tsh 100,baada ya mwezi mmoja unarejesha Tsh 109, mwezi wa pili unatakiwa urudishe Tsh 109.82
Mwezi wa pili tena ubakatwa sio 0 Tsh 109.82
Bali ni 9% ya 109.82 jumlisha 109.82
hence the sequence goes on.
Sasa wakati wa Kuchukua mkopo let say Mshahara wako ni milioni 3.
Umekopa milioni 10.
Kama utarejesha mkopo wao ndani ya mwezi mmoja utatakiwa kurejesha Milioni 11 tu.
Ila kama unalipa kidogo kidogo after 8yrs ujue malipo yako ni zaidi ya 15M kwa mfano.
Wewe ulisebu mshahara wako unakatwa 2M kila mwezi umalize mkopo in 5M, badala yake unaenda ubaambiwa bado haujaisha hapo ndio kimbembe kinaanza sasa.
Uki mindi wanakwambia ai ukisaini Mkataba kwa njaa zako?
View attachment 2948074View attachment 2948075