Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

Hii kasunba mtu akipata tu chek namba mbio kuenda kukopa.nna jamaa yang amekopa 20 ana service deni mpaka llishe atakua kalipa milioni 53.6 anaishi kwa kuandika proposal
Hahahahaa mkopo ni noma! Nakumbuka mzee wangu alikopa hela ikawa inakatwa na akawa anapokea 67,000/= nikwambie alibaki viraka tu na aliteseka kwa miaka takribani 10!

Halafu hawa jamaa ni wajinga sana wana kitu kinaitwa kudouble mkopo ukikaribia kumaliza unachukua mwingine halafu hela kiasi unalipa deni la awali hapo ndo roho mkononi!
 
Nimejitahid kukuelewa ila nimeshindwa
 
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi sana.
TZ asilimia 80 ya kila mtu au taasisi inaishi kwa utapeli.
Sitowataja ila ni kati ya benki mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi.
Kutotaja hili ni unafiki. Mostly, wafanyakazi wa serikali wanakopa NMB, CRDB, ABC Bank, na vitaasisi uchwara Kama Fanikiwa, Maboto, Ultimate, Bayport etc
Niseme ukweli benki ni taasisi za wizi asikuambie mtu. Zaidi na zaidi hawa wamezidi ni wadanganyifu.
Utapeli ndio faida kwao.
Leo nimeamua niseme bila kutaja jina la hii taasisi.

Nilikopa mara mbili tu katika utumishi wangu wa miaka 27. Nikikaribia kustaafu sasa. Lkn wamenitia machungu na kwa kweli wananchi na watumishi tunakopa kwenye hizi benki lakini tunavumilia maumivu. Kwanza wana riba kubwa wanajifanya riba yao ndogo wakijinasibu kukupa mkopo wa miaka hadi 8 au 9.
Siku zote ukirafuta mkopo lazima wewe ndio uwe unacontrol mazungumzo. Ukiwaachia bank lazima wakuue.

Unaenda bank, wanakwambia wakuoe pesa ambayo hata mwenyewe hukupanga kuchukua na wewe unakubali.

Wakishakupa mkopo wa miaka 9 ( miezi 108) wanajua kabisa hutaweza kujinasua, utaishi kwa top up tu mpaka unastaafu.

Unastaafu bado utakopea pension.
Nina mkopo kwako wote na huyu mwenzie ila kwa mwenzake sina maumivu na hawa jamaa ni benki inasaidia bila kuumia.

Zamani wakati nakuwa kunako miaka 5 hivi mzazi wangu alinifunguliaga akaunti japo ilikufa. Lkn hawa wana asili ya kudunduliza. Hata sasa wanadunduliza na wakikukama hata 3mil utailipa kwa uchungu sana.

Pamoja na mshahara wangu wa 3mil kwa mwezi lkn hawa ni kama kupe. Mkopo kwanza hauishi. Kwa anayepitia hii kitu atajua kamkopo kadogo wanakaweka kama kunyonya vibaya sana.

Hizi taasisi zijitahidi kuwa na kiasi. Chukueni riba ila kwa kiasi. This bank is exploiting loanees. Kwa kweli inasikitisha.

Nakumbuka nilijipanga nilipe hii pesa ndg ambayo haiishi..waligoma kutoa loan balance statement na barua. Ili nite pesa niwe huru. Huyu kijana alinizungusha na hadi kard niliiacha hapo hapo kumaanisha nilivunja ndoa na hii benk.

Mods huna haja kuondoa uzi huu haujamtaja yoyote zaidi ninatoa awareness kwa wananchi na watumishi hzi benki zijirekebishe. Wanatumia mbinu zisizowaz kwa raia kukwapua pesa kwa njia za mikopo na mikataba ya ulaghai.

Njnaamini hawa jamaa ni sikio la kufa japo wengi tuwakopaji sana huko. Umakuta nakopa nakatwa 450,000 kwa mwezi. This is fine. Ukikopa 3mil watakupigia 9 years hili deni haliishi.

Ulitaka kulipa deni watakuzungusha sana.

Kwa sasa ukitaka kukopa hawakukopeshi kama nni mtumishi bila salary yako kupitio kwao.
Ukishataka kulipa deni, wanajua unataka kukimbia lazima ukabwe ubaki.


Na Kama una deni la miaka 9 wanajua hutaweza kuvumilia liishe, utaishi nao tu.

Huu ni udhaifu na unyanyasaji. Wanataka wawavute watumishi kwa lazima. Na hakuna benki itakubali kukuhamishia mshahara uende kwengine kama umekopa . Hii ni aina ya unyanyasaji wa watumishi..benk hii inaongoza kwa hu unyanyasaji....

Baadhi ya shule wajukuu wanasoma.huko tunalipa ada basi tu kupitia hawa watu lkn hawafai kabisa
Siyo vizuri kukopa mkopo wa muda mrefu sana, na pia siyo vizuri kukopa mkopo kwenye vitaasisi ambavyo na vyenyewe hukopa bank.
 
Hii kasunba mtu akipata tu chek namba mbio kuenda kukopa.nna jamaa yang amekopa 20 ana service deni mpaka llishe atakua kalipa milioni 53.6 anaishi kwa kuandika proposal
Shida ni kwenda bank bila maamuzi. Bank wao ukiwaonesha salary slip yako, watakwambia kwa Mshahara wakonwatakupa milioni labda 20 kwa miaka 9.

Kwasababu wewe unachotaka ni pesa huwezi kuwaza hiyo miaka 9 itaisha lini Wala ndani ya miaka 9 utakuwa umelipia riba kiasi gani.
 
kopa kwa lengo la kibiashara na uwe unaifahamu biashara

MKOPO SI HISANI
 
Back
Top Bottom