Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mtu ana milioni 600 NMB anaenda NBC kukopa Milion 200.Wafanyabiashara benk ndo nyumbani kwao. Ila mtumishi sasa ....
Yeye anasecure capital tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu ana milioni 600 NMB anaenda NBC kukopa Milion 200.Wafanyabiashara benk ndo nyumbani kwao. Ila mtumishi sasa ....
Salary slip haioneshi?Ilitakiwa mteja awe na online access ya kuona deni linavyolipwa na kila mwezi anatakiwa alipe ngapi, kiasi kilichobaki na muda. Kiufupi benki zetu hazitumii advantage ya Internet. Inakuwaje mteja mpaka afunge safari kwenda benki kuulizia mambo madogo kama haya?
Kama HeslbBasi utaratibu wao ni mbovu sana. Ai pengine ndiyo utaratibu wa Tanzania? Nchi nyingine nilizowahi kuishi, ukikopa fedha iwe benki au taasisi yoyote ya kukopesha kitu cha kwanza ni lazima unakuwa na credentials za kukuwezesha wewe mkopaji kuona ulikopa kiasi gani, kila mwezi unatakiwa ulipe kiasi gani deni lililobaki na miezi iliyobakia kumalizia deni. Ukitaka kulimaliza lote hata miezi miwili baada ya kukopa basi ni uamuzi wako.
Why hidding? Wafrica tuna shida kubwa sanaHii benki wanakataa kwa kuzungusha zungusha. Kwanza barua ya loan balance kukupa ni kazi kubwa
Hii ni kawaida kibiasharaKwa sasa ukitaka kukopa hawakukopeshi kama nni mtumishi bila salary yako kupitio kwao. Huu ni udhaifu na unyanyasaji. Wanataka wawavute watumishi kwa lazima. Na hakuna benki itakubali kukuhamishia mshahara uende kwengine kama umekopa . Hii ni aina ya unyanyasaji wa watumishi..benk hii inaongoza kwa hu unyanyasaji....
Kopa uongeze kipato wewe acha wogaUmezungukaaaa ila haujahit the point how wanakuibia?
Mimi niko kwenye utumishi mwaka wa 8 huu, ila ktk mambo ambayo niliapa sitayafanya ni kukopa..
Hawataki kutoa Loan balanceYaani unakopa fedha halafu ukitaka kumaliza deni lote kwa mara moja wanakataa? Ni ajabu.
Hahaa ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbuHii ni chai tena haina hata sukari, Kama una miaka 27 utumishi na ulikuwa na akaunti at 5 years maana yake ulikuwa na akaunti kabla hizi benki ulizogoma kuzitaja hazijaanzishwa. Nakumbuka tapeli mmoja aliniambia kakimbia Rwanda enzi za mauaji ya kimbali nilipomuuliza ana umri gani akataja miaka michache kuliko umri wa mauaji tangu yatokee.
Kabisa....Siku hizi ni mwendo vicoba na saccos
Siwezi kujua kwa sababu siko kwenye hili kundi. Ila umenifanye nifikirie tena jambo jingine. Kumbe Bongo ukikopa fedha kama wewe ni mfanyakazi fedha zinakatwa juu kwa juu? Shemi nilizoishi mimi unapata mshahara wako wote na salary slip anakupa mwajiri, halafu wewe ndiye mwenye jukumu la kulipa deni la mkopo. Pia umuhimu wa kuwa online access ni kwamba kunakuwa na uwazi zaidi na pia mtu ambaye hajaajiriwa anaweza kujua kinachoendelea.Salary slip haioneshi?
Unatumia mbinu gani kupata hata 10ml ya mkupuoUmezungukaaaa ila haujahit the point how wanakuibia?
Mimi niko kwenye utumishi mwaka wa 8 huu, ila ktk mambo ambayo niliapa sitayafanya ni kukopa..
Ndugu na mimi nimekoma! Sitarudia tena! Bora nijikopee zangu huku kwenye vi saccos vyetu! Benki hapana aisee majizi wakubwa!Umezungukaaaa ila haujahit the point how wanakuibia?
Mimi niko kwenye utumishi mwaka wa 8 huu, ila ktk mambo ambayo niliapa sitayafanya ni kukopa..
naona umeamua umalize kila kitu 🤝Siku binadamu akijua maisha ambayo wanyama wanayoishi na sie tofauti Ni ndogo mno nadhani wataacha kuongea masuala Kama haya.
Pale porini chui Hana huruma na mtt wa swala hata alieje machozi ya damu. Hii Ni dunia ya dog eats another dog Basi.
Sasa unaliwaje ukiwa huna maarifa aka strong knowledge ya kuwa exploit wenzako Mana you know more or far better than them.
Or unayo pesa unawaajili wanameki profit ya shilingi Mia na wewe unawalipa sh moja Basi.
Benki ukikopa unapolipa riba unailipa na Ile principal yao Ila wao wakopeshe wanakulipa riba Ila principal wanabaki nayo.
Hakuna mtu anayekupenda hata hao watu wa dini wanawanyonya kisa tu wanatumia spiritual knowledge or awareness kuwatumia nyie kisa ya matatizo ya binadamu yasiiyoisha.
That's my faith , Check masista Wana magari yao daladala hawataki kupanda Kama waumini wao,padri anataka kununuliwa gari ya 100M plus.
Mganga wa kienyeji anakunyonya anakula kuku jogoo mkubwa huku wewe unakula dagaa.
Yaani spiritual awareness, emotions and mind plus body.
Rule of survive,yaani Hawa jamaa wanakuletea dini huku wao wanabakia wakichukua madini na bandari unaadmbiwa wewe kupendwa ndio stake yako Ila yeye achukue vinono.
Na Tena masikini Ni rahisi mno kumrubuni yaani muonyeshe upendo,mwambie dunia tunapita,msalimie ,mchangamkie tayari anakupa kila kitu anakuona kuwa wewe Ni mtu mzuri yaani zile salamu na uchangamfu unamtoa kwenye matatizo yake.
Yeye masikini anakula salamu na upendo na tamaa zake za kupenda Raha na ngono Basi.
Yaani masikini wewe msalimie tu jionyeshe kwake kuwa unamjua Mungu umemaliza na mpe mistari ya kumfariji
Nashukuru Kama umenielewa, nimemaliza,kuna mtu anajua kuwa kiongozi fulani ama mtu fulani akishika madaraka Basi maisha yake yatakuwa laini ama atakuwa anaaamka anakuta supu ya Sato ya jogoo wa kienyeji mezani. Haipo hiyo hakuna mganga Wala kiongozi wa dini ama kisiasa anaweza akakupatia hayo.naona umeamua umalize kila kitu 🤝
10M kwa mkupuo ni ngumu...Unatumia mbinu gani kupata hata 10ml ya mkupuo