Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

Dhumuni la kuwafanya muwe maskini ni mikopo ,hapo kazi huwezi kuacha ili kulipa deni la watu huku unapewa ahadi za kimeoπŸ˜…πŸ˜….

Miaka kadhaa mbele miasha yanapanda kila siku unalipa mikopo.
 
Wewe ndio unaonekana unahitaji elimu ya fedha.
 
Lwa mnao mbisgia huyu mzee mna lend. Kjna benk moja katika hizi ilianza zamani sana...kwa heshima za kibiashara sitataja ila kubmna benki moja hapa nchini ilianza enzi za ujamaa vijijini. Naamini ndio anayoklikusudia.

Pia mpo mnaodai kukopa inawezekana ashakamilisha kulipa anataka lufanya clearance ya mkopo wake.

Ninawatuna hii benk nilikopa mkopo.wa biashara kuna mambo wamenizungusha sana mpaka biashara ikayumba nikawahi benk Y nikapata na biashara inaendelea vizuri tu.

Nimependa hakuna alipoitaja maana sio vema kutaja jina
 
Pamoja na mshahara wangu wa 3mil kwa mwez..lkn hawa ni kama kupe. Mkopo kwanza hauishi. Kwa anayepitia hii kitu atajua...kamkopo kadogo wanakaweka kama kunyonya vibaya sana.
Kumbe na wao ni kama Nyonya Damu?
 
Wataje hadharani waache huo ujinga usiwafiche

Kuwaficha ni kuendelea kuharamisha unyonyaji wao
 
Mods huna haja kuondoa uzi huu haujamtaja yoyote zaidi ninatoa awareness kwa wananchi na watumishi hzi benki zijirekebishe. Wanatumia mbinu zisizowaz kwa raia kukwapua pesa kwa njia za mikopo na mikataba ya ulagha
Mwamba Mmoja alinambia Baba yake alikuwa Mhasibu wa Benk.

Baba Huyo alijiapiza asije mtoto awaye yeyote kukopa mikopo ya Bank atakuwa amekwisha.

Jamaa alisema vile vifungu vinavyoitwa masharti ya Mkopo unavisoma juu juu ni vitamu lakini sumu iko mule mule.
 
Shida sio kukopa bali hamweki wazi baadhi ya mambo.
 
Wataje hadharani waache huo ujinga usiwafiche

Kuwaficha ni kuendelea kuharamisha unyonyaji wao
Bank zote mfumo ni mmoja.....hasa hizi za Kwetu.

Wanatakiwa wakwambie kwa uwazi ili mtu aamue

Kama ulisoma Hesabu Form Four na ukafuzu vizuri utakuwa unajua nini maana ya hizi Fomula ambazo Kamwe Bank hawataziweka wazi.

1. Arithmetic Progression
2. Geometric Progression.

Nitatoa mifano rahisi

a- amount uliyokopa tsh.
100
bank inakwambia utanirejeshe sh 10 kila mwezi unaoongezeka

Maana yake kias unachotaka kuongeza itakuwa

A- amount payable
A=a +Tsh 10 baada ya mwezi mmoja

Baada ya miezi mitatu itakuwa hivi

A3= (A1+10)+ (10% ya A2)

Sasa ukumbuke A2 sio 100 tena bali ni 110 na 10% yake sio 10 bali ni 11%.


So kadiri miezi inavyosonga kiwango cha kurejesha hakipungua bali kinaongezeaka.

This is best explainned by Geometric Progression and Geometrix Sum kwa kuwa Benki wanatumia Asilimia.

Wanakwambia Riba yetu ni 9%.

Umechukua Tsh 100,baada ya mwezi mmoja unarejesha Tsh 109, mwezi wa pili unatakiwa urudishe Tsh 109.82

Mwezi wa pili tena ubakatwa sio 0 Tsh 109.82

Bali ni 9% ya 109.82 jumlisha 109.82

hence the sequence goes on.

Sasa wakati wa Kuchukua mkopo let say Mshahara wako ni milioni 3.

Umekopa milioni 10.

Kama utarejesha mkopo wao ndani ya mwezi mmoja utatakiwa kurejesha Milioni 11 tu.

Ila kama unalipa kidogo kidogo after 8yrs ujue malipo yako ni zaidi ya 15M kwa mfano.

Wewe ulisebu mshahara wako unakatwa 2M kila mwezi umalize mkopo in 5M, badala yake unaenda ubaambiwa bado haujaisha hapo ndio kimbembe kinaanza sasa.

Uki mindi wanakwambia ai ukisaini Mkataba kwa njaa zako?
 
Umri wako unaelekea kustaafu, utumishi miaka 27..... ukiwa mtoto wa miaka 5 wazazi wako walikufungulia akaunti.

Je, hizi benki ulizogoma kuzitaja majina zina umri gani?
Jamaa anatufanganya kweli. Miaka 27 kazini na alifunguliwa akiwa na miaka 5πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
 
Hii benki wanakataa kwa kuzungusha zungusha. Kwanza barua ya loan balance kukupa ni kazi kubwa
Basi utaratibu wao ni mbovu sana. Ai pengine ndiyo utaratibu wa Tanzania? Nchi nyingine nilizowahi kuishi, ukikopa fedha iwe benki au taasisi yoyote ya kukopesha kitu cha kwanza ni lazima unakuwa na credentials za kukuwezesha wewe mkopaji kuona ulikopa kiasi gani, kila mwezi unatakiwa ulipe kiasi gani deni lililobaki na miezi iliyobakia kumalizia deni. Ukitaka kulimaliza lote hata miezi miwili baada ya kukopa basi ni uamuzi wako.
 
Ilitakiwa mteja awe na online access ya kuona deni linavyolipwa na kila mwezi anatakiwa alipe ngapi, kiasi kilichobaki na muda. Kiufupi benki zetu hazitumii advantage ya Internet. Inakuwaje mteja mpaka afunge safari kwenda benki kuulizia mambo madogo kama haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…