Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

Salary slip haioneshi?
 
Kama Heslb
 
Hii ni kawaida kibiashara
 
Umezungukaaaa ila haujahit the point how wanakuibia?

Mimi niko kwenye utumishi mwaka wa 8 huu, ila ktk mambo ambayo niliapa sitayafanya ni kukopa..
Kopa uongeze kipato wewe acha woga
 
Hahaa ukiwa mwongo basi uwe na kumbukumbu
 
Ungekuwa wewe unamkopesha mtu shs.milioni 10 akurudishie baada ya miaka 8 au 9 ungemtoza riba kiasi gani?

i.e pesa,yako nikae nayo kwa miaka 8 au 9 ulitaka nikulipishe riba,kiasi gani?
 
Salary slip haioneshi?
Siwezi kujua kwa sababu siko kwenye hili kundi. Ila umenifanye nifikirie tena jambo jingine. Kumbe Bongo ukikopa fedha kama wewe ni mfanyakazi fedha zinakatwa juu kwa juu? Shemi nilizoishi mimi unapata mshahara wako wote na salary slip anakupa mwajiri, halafu wewe ndiye mwenye jukumu la kulipa deni la mkopo. Pia umuhimu wa kuwa online access ni kwamba kunakuwa na uwazi zaidi na pia mtu ambaye hajaajiriwa anaweza kujua kinachoendelea.
 
Siku binadamu akijua maisha ambayo wanyama wanayoishi na sie tofauti Ni ndogo mno nadhani wataacha kuongea masuala Kama haya.
Pale porini chui Hana huruma na mtt wa swala hata alieje machozi ya damu. Hii Ni dunia ya dog eats another dog Basi.
Sasa unaliwaje ukiwa huna maarifa aka strong knowledge ya kuwa exploit wenzako Mana you know more or far better than them.

Or unayo pesa unawaajili wanameki profit ya shilingi Mia na wewe unawalipa sh moja Basi.
Benki ukikopa unapolipa riba unailipa na Ile principal yao Ila wao wakopeshe wanakulipa riba Ila principal wanabaki nayo.

Hakuna mtu anayekupenda hata hao watu wa dini wanawanyonya kisa tu wanatumia spiritual knowledge or awareness kuwatumia nyie kisa ya matatizo ya binadamu yasiiyoisha.
That's my faith , Check masista Wana magari yao daladala hawataki kupanda Kama waumini wao,padri anataka kununuliwa gari ya 100M plus.
Mganga wa kienyeji anakunyonya anakula kuku jogoo mkubwa huku wewe unakula dagaa.


Yaani spiritual awareness, emotions and mind plus body.
Rule of survive,yaani Hawa jamaa wanakuletea dini huku wao wanabakia wakichukua madini na bandari unaadmbiwa wewe kupendwa ndio stake yako Ila yeye achukue vinono.

Na Tena masikini Ni rahisi mno kumrubuni yaani muonyeshe upendo,mwambie dunia tunapita,msalimie ,mchangamkie tayari anakupa kila kitu anakuona kuwa wewe Ni mtu mzuri yaani zile salamu na uchangamfu unamtoa kwenye matatizo yake.


Yeye masikini anakula salamu na upendo na tamaa zake za kupenda Raha na ngono Basi.


Yaani masikini wewe msalimie tu jionyeshe kwake kuwa unamjua Mungu umemaliza na mpe mistari ya kumfariji
 
Ndio maana tulikatazwa kula na kutoa riba, riba kwenye Islam ni kama kutangaza vita na Mwenyezimungu. Riba haijawahi kumuacha mtu salama

Tuendelee kujiwehuza tu
 

Attachments

  • VID-20240328-WA0025.mp4
    4.9 MB
naona umeamua umalize kila kitu 🤝
 
naona umeamua umalize kila kitu 🤝
Nashukuru Kama umenielewa, nimemaliza,kuna mtu anajua kuwa kiongozi fulani ama mtu fulani akishika madaraka Basi maisha yake yatakuwa laini ama atakuwa anaaamka anakuta supu ya Sato ya jogoo wa kienyeji mezani. Haipo hiyo hakuna mganga Wala kiongozi wa dini ama kisiasa anaweza akakupatia hayo.
Ila mie Nina dawa Kama vipi nicheki pm nitakupatia kwa Bei ya bure kabisa ya 100,000 ,uhakika hii dawa ,wahi zipo.chache mno wengi mno wamefanikiwa kwa dawa hii saivi wanafuata mizigo China makontena na makontena. Endelea kukumbatia umasikini wako ,wenzako wananufaika na uoga wako ndio umasikini wako.
 
Unatumia mbinu gani kupata hata 10ml ya mkupuo
10M kwa mkupuo ni ngumu...

Ila kwa mwaka huwa siikosi...

Siri ni kuishi ktk kipato chako, matumizi yawe theluthi ya unachokipata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…