Wengi wetu ni wakopaji sana kwenye mabenki ila hili ni sikio la kufa

In this forum,we dare to talk openly.
Acha uoga,taja majina ya hizo benki.
Vinginevyo huu utakuwa ni umbea tu.
 
Compounding interests zinawehusha watu Akili kule Marekani , huku mkopo wa nyumba ,huku mkopo wa gari ,huku mkopo WA credit cards kwa ajili ya manunuzi ya kawaida
Watu wanakipata cha mtema kuni
Kopa kufanya biashara na si kuconsume
 
Mikopo ilibuniwa kukamua mkopaji ,so think like a businessman ,Acha kufikiri kama peasant .
Kopa kufanya biashara ili pesa uliokopa izalishe na utumie sehemu kinachozalishwa kurejesha mkopo na riba zake
Acha kukopa ili kununua liabilities
 
Yaani nina mkopo unaisha 2028 naumia lkn kwasababu niliazishia biashara ambayo kwasasa thanani yake ni kubwa sio mbaya
 
Yaani nina mkopo unaisha 2028 naumia lkn kwasababu niliazishia biashara ambayo kwasasa thanani yake ni kubwa sio mbaya
Sasa mkuu unaumia na nini kama biashara ipo hai? Sema ulitimiza malengo ya huo mkopo! Kama biashara inafanya vizuri hutakiwi tena kuendelea kurejesha mkopo kwa kutumia mshahara, biashara ianze kuhudumia mkopo!
 
Hivi mtumishi aliyekopa kwa mshahara halafu bahati mbaya akafutwa kazi mkopo anaurejeshaje?
 
Ngoja hili nifikirie kwa kweli
 
Sasa mkuu unaumia na nini kama biashara ipo hai? Sema ulitimiza malengo ya huo mkopo! Kama biashara inafanya vizuri hutakiwi tena kuendelea kurejesha mkopo kwa kutumia mshahara, biashara ianze kuhudumia mkopo!
Na taka baada ya mda nikufute tu
 
Watumishi walitakiwa wakope kwenye mifuko yao ya NSSF NA PSPF pamoja na NHIF maana pesa zao zinafanyiwa biashara na watu wengine wanajikopesha bila riba watumishi wapo wamebakia mama anaupiga mwingi nonsense kabisa.
 
Hii kasunba mtu akipata tu chek namba mbio kuenda kukopa.nna jamaa yang amekopa 20 ana service deni mpaka llishe atakua kalipa milioni 53.6 anaishi kwa kuandika proposal
Wengi wa watumishi wanaokopa huwa wanakopa kwa mkumbo...

Mtu akiona au kusikia flani kanunua gari, flani kajenga, flani ana biashara basi anajiona yeye anachelewa sana naye anakimbilia kukopa.

Hapo ndipo wengi wanapojichanganyaga..
 
Hivi mtumishi aliyekopa kwa mshahara halafu bahati mbaya akafutwa kazi mkopo anaurejeshaje?
Mkopo unakuwa ushakatiwa insurance. Ikitokea majanga yyt, iwe mtumishi kafariki aunkashindwa kuendelea na kazi kwa sababu za maradhi insurance inalipa. Ila hapa kwenye kufutwa kazi sina hakika sana kama bima ina cover labda wajuzi watuelemishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…