Amin nakwambia,wewe Huwezi kumpa mwanamke mtaji hata kama unampenda...HUWEZI..Sijam-jaji MTU.
Vijana wengi ni jobless lakini ujobles sio tatizo katik mahusiano. Tatizo ni ubinafsi.
Sisi wengine hatuoni shida kuwapa Wanawake tunaowapenda mitaji kama wao wasivyoona shida kutupa mitaji ikiwa tutahitaji.
Ninachoelezea hapa ni Roho ya upendo, kushirikiana. Hiyo Wanawake wengi hawana
Hata hamu ya kujishughulisha huwa inakua maradufuImebidi nitumie lugha hii rahisi kuweza kueleweka.
Mwanamke anapokuomba hizo elfu 50, 50 ndiyo chachu yenyewe kufanikiwa.
Wanasema kadri unavyotoa ndivyo zinavyozidi kupata 🤗
Imagine jamani!Imagine umekutana na graduate, au binti amekaa home akitafuta kazi kwa miaka miwili hivi. Anaonyesha kukupenda, won't you help her when necessary?
Bado huijui bia wewe, yaani utafute 50k kwa ajili ya kulipia mbunye.Mkuu hao wanawake unaowasema ndiyo Bwana Elon Musk ameamua kuwatengenezea.
Mwanamke hakuombi hata hela ya kununua Peruvian Hair, sembuse ya kwenda kusafisha Kucha Saluni.
Unadate na Mwanamke ambaye hakuombi Vocha si atafanya akili yako ilale, Mwanamke lazima akuombe vi elfu 50, 50 ili akufanye utie bidii kutafuta hela
Watakaokuelewa ni sisi wachache wenye akili za kifogo mkuu.Hizo ni kauli za jamii Maskini.
Kulea familia ni jukumu la Baba na Mama.
Wote lazima mfanye kazi, mtunze Familia yenu Kwa kushirikiana.
Kujigeuza msukule Kwa wanaume wengi ndio kunawafanya wawaone Wanawake ni wabaya kumbe wao ndio wapumbavu.
Kasome;
Mithali 31:
10Mke mwema, ni nani awezaye kumwona?
Maana thamani yake yapita thamani ya marijani.
11Moyo wa mumewe humwamini,
Wala hatakosa kupata mapato.
12Humtendea mema wala si mabaya,
Siku zote za maisha yake.
13Hutafuta sufu na kitani;
Hufanya kazi yake kwa moyo wote.
14Afanana na merikebu za biashara;
Huleta chakula chake kutoka mbali.
15 Tena huamka, kabla usiku haujaisha;
Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula;
Na wajakazi wake sehemu zao.
16Huangalia shamba, akalinunua;
Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi;
Hutia mikono yake nguvu.
18Huona kama bidhaa yake ina faida;
Taa yake haizimiki usiku.
19Hutia mikono yake katika kusokota;
Na mikono yake huishika pia.
20Huwakunjulia maskini mikono yake;
Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake;
Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22Hujifanyia mazulia ya urembo;
Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23 Mume wake hujulikana malangoni;
Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24Hufanya nguo za kitani na kuziuza;
Huwapa wafanya biashara mishipi.
25 Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake;
Anaucheka wakati ujao.
26Hufumbua kinywa chake kwa hekima,
Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
27 Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake;
Wala hali chakula cha uvivu.
28 Wanawe huondoka na kumwita heri;
Mumewe naye humsifu, na kusema,
29Binti za watu wengi wamefanya mema,
Lakini wewe umewapita wote.
Huyo ndio MKE sasa. Unaoa MKE na sio mdoli
Hapo unakua na uhakika mapenzi ni ya kweli.Aisee umesema kweli.
Wako mabinti mpk akwambie anahitaji msaada unampa bila kuuliza.
Kuna binti siku niko zangu alosto sina hela home.
Kaniona natia huruma
Alikua na hela anarudi chuo.
Kanipa zote nikalewe😁.
Mama pia ni mlokole.
Kaona huyu jamaa hayuko sawa
Aisee nikashangaa karudi na Bapa hilo.
Akasema likiisha nakuchukulia jingine usimwonyeshe mtu,🤣🤣🤣
Hawa wanawake wawili sanamu yao ninayo
Nawaheshimu sana.
Kwa kweli, kuna siku nilipewa show hadi nikakumbukia Ujana. Viuno kama vyote Babu yenu nilipewa 🙈🏃🏃🏃Hata hamu ya kujishughulisha huwa inakua maradufu
Hahaha.............hujajua utamu wa kei wewe, ushawahi kupewa huku unaulizwa babe umeridhika au nikupe zaidi....🏃🏃🏃Bado huijui bia wewe, yaani utafute 50k kwa ajili ya kulipia mbunye.
Unaacha kumwagilia moyo mkuu, mbunye unalipia 50k halafu ukikojoa tu chwaaah utamu umeisha.
Amin nakwambia,wewe Huwezi kumpa mwanamke mtaji hata kama unampenda...HUWEZI..
nyie ma auntie vijana wa saivi hatutaki hayo mambo ya kutegemewa kwenye kila kitu, tunataka mabinti wanaojiongeza😂Hata hamu ya kujishughulisha huwa inakua maradufu
Nyie wazee ndo mnatabia za hovyo ili tupate vijana smart and smartest people hatuitaji jamii kuwa na watu wa hovyo Kama weweHahaha.............hujajua utamu wa kei wewe, ushawahi kupewa huku unaulizwa babe umeridhika au nikupe zaidi....🏃🏃🏃
Hao mashangazi waambie wamtazame Nandi mtoto Mdogo anapambana Hadi anaolewa na kijana billnass asiye na. Mkwanja wa kutosha then anampa zawadi ya gari siku ya birthday yake. Mashangazi wa JF wajifunze haponyie ma auntie vijana wa saivi hatutaki hayo mambo ya kutegemewa kwenye kila kitu, tunataka mabinti wanaojiongeza😂
Kwanini akose kipato?Hem nieleze mimi nisiyeelewa, unahitaji kumuona gf wako sehemu, unajua kabisa hana kipato. Wewe utafanyaje?
Kipindi wewe unashangaa hivyo sisi wenyewe tunawashangaa ninyi manaoitaka hamsini Kwa hamsini ikiwamnashindwa kujinunulia VOCHA na kujimudu kwa NAULI YA BUKU TATULegend yaani mnanipa mawazo sana kama mnaogopa hata kununua vocha jamani,.....jamani kizazi Cha baba zetu ndio kinaishia hivyo
Brother,ngoja nijiongelee Binafsi,Siko vibaya kiuchumi kabisa namshukuru Mungu Kwa Hilo,naweza kujipeleka hata vacation inapobidi,lakini siwezi nenda Kwa mwanaume wangu mkoa au nchi nyingine bila kunitumia nauli,......Akituma nauli huyo Yuko serious na hayo mahusiano....Sasa mtu hawezi hata kutumia nauli wanini huyo?Kipindi wewe unashangaa hivyo sisi wenyewe tunawashangaa ninyi manaoitaka hamsini Kwa hamsini ikiwamnashindwa kujinunulia VOCHA na kujimudu kwa NAULI UA BUKU TATU