Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Kama una nauli yako wewe tumia tu hakuna ulazima wowote wakumuomba hiyo dhana ndio anapinga mtoa mada
Sijilipii nauli Asilani!kama anajisikia uchungu kutuma nauli aje yeye...... Yaani nisafiri kilometers away,Nichoke njiani,na nauli yangu wee nani kasema Huo upuuzi?😁😁😁😁
 

Na Kwa nini nikuite Huko Kampala au DSM?

Kwani wewe huoni umuhimu au uhitaji wa kuja?
Hapo ndipo wengi wanakwama.

Kimsingi, Mimi siwezi kuwa na Mwanamke ambaye hanihitaji, yaani ATI mpaka nimuite, au nimtumie nauli, au vocha.
Mwanamke mwenyewe Baada ya kuingia kwenye relationship naye, mnatakiwa muwe mnahitajiana.

Anakuambia baby Niko njiani nakuja, anakuja mtoto, hivyo yaani.

Na mbona Wanawake wengi hasa wenye vipato wako hivyo.
 
Hajitambui.....

Yaani umtumie MTU nauli Wakati unajua anayo, kumaanisha wewe ndio unashida naye, ilhali zipo pisikali kuliko mwenyewe zenye kipato na zenye uwezo wa kujilipia nauli. Labda huyo Mwanaume awe jinga.

Vijana wanaojitambua hawawezi fanya Jambo kama Hilo. Labda Vijana washamba
 
Unataka kupingana na nature Sasa!ndio ninachokiona Sasa......kama unataka mwanamke ndiwe awe na mchecheto wa kukufuata wewe bila wewe kuonyesha unamtaji utasubiri sana.....
 
Sasa kama unazo hizo pisi Kali kuliko yeye unashauriwa uendelee nao hao,ila Kwa mwanamke anayetambua hadeti na mwanaume kisa tu kavaa suluari,unadate na mtu Kwa kuangalia uwezo wake wa. kupambana na majukumu,Sasa mtu hata nauli analalamika huyo hata ukikwama Hela ya kulipa TRA atakusaidia Kweli?
 

Tatizo ni pale mnapojilanganisha na cc kwa kila kitu afu kwenye hela mnatuachia cc.
 
Hujamuelewa rudia tena kusoma...point yake ni vijana wasikubali kuteseka kwenye mapenzi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aiseee tumeni tu nauli wapenzi zetu.

Ukiona mwanaume ajamtumia Girl nauli bhc kuna mawil
1/budget imesoma negative
2/kashamchoka uyo mtoto either kwa tabia zake Au ana option ya mwanamke mwingine
Vinginevo tunafuraishana tuh hapa ila kusema no kwa pisi kali huo ujasiri wengi hatunaa [emoji23][emoji23][emoji23]labda kwa izo option mbili apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…