Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Unajikanyaga unaenda mbele unarudi nyuma....Hapa kikubwa Tafuta Hela.
 

Wapo Wanawake wanaohudumiwa Kwa karibu kila kitu lakini wanayowafanyia Waume zao ukisikia utabaki mdomo wazi. Ndio huo Utapeli n unyonyaji ninaousemea.

Huwezi ishi na MKE alafu usimhudumie, lakini ishu inakuja unaweza ishi na Mwanamke unayemuita MKE lakini Hatoi mchango wowote wa kuisapoti familia. Nazungumzia uchumi.

Ndio maana nilitoa nukuu ya mithali 31 ukasome Sifa za MKE mwema na Bora.
Utazipata hapo Kwa uchache.
 
Unajikanyaga unaenda mbele unarudi nyuma....Hapa kikubwa Tafuta Hela.

Mimi sio wale wakuambiwa chakufanya. Sihitaji shinikizo la nje kufanya kitu kinachonihusu.

Nafanya kazi Kwa sababu kazi ni ibada ambayo Mungu huitumia kunipa Riziki yangu. Na sio nitafute Pesa kwaajili ya ninyi Wanawake. Huo Utumwa muwaambie wengine.
 
Huna Hela bwana...Ongeza juhudi kwenye utafutaji,Ili uishi Ile there's more happiness in giving 😁
 
Kibongo bongo mahusiano ni kuumizana.
Vijana wengi wanatumia Sana alafu ukichunguza hao wanaowaumiza utacheka na kuwaonea huruma
Bongo ni wachache sana wenye mapenzi ya kweli. Hii tabia ya kuhudumia wanawake tena wasiokuwa wake zenu mnazotoa wapi? Ndio maana kutwa kucha mnasema ohh wanawake wanapenda pesa kumbe nyie ndio mmewazoesha. Ukiona pesa ndio kiungo cha mapenzi yako na mwanamke, jua hupendwi unachunwa tu. Wanaopendana wanasaidiana sio kuumizana.
 
Mimi hata sisubiri nitumiwe nauli ilihali nina kipato kizuri. Huu ni utumwa wa fikra. Hii one sided love ndio ina cost most of the relationships. No mutual love and benefits at all.
 
Mimi hata sisubiri nitumiwe nauli ilihali nina kipato kizuri. Huu ni utumwa wa fikra. Hii one sided love ndio ina cost most of the relationships. No mutual love and benefits at all.

Sasa ukipata Mwanamke wa hivi kutoboa ni rahisi. Familia inakuwa na umoja na ushirikiano katika Nyanja zote. Hapo lazima mtoboe hata Kama kipato ni kidogo.

Mziki unakuja hapa, unakuta Mwanamke sio mbinafsi alafu anaolewa na jianaume libinafsi. Linapata Pesa linatumia kunywea pombe na Kustarehe na Wanawake. Huo ndio ubinafsi Watibeli hatuuvumiliagi kamwe.

Binti zetu ni Bora wawe single kuliko kuishi na limwanaume libinafsi.
 
Nilipataka mmoja mbinafsi balaa, nikaamua kuachana naye. Familia nyingi zenye maendeleo wanawake wanajituma pia na ni washauri wazuri wa familia.
 
Nilipataka mmoja mbinafsi balaa, nikaamua kuachana naye. Familia nyingi zenye maendeleo wanawake wanajituma pia na ni washauri wazuri wa familia.

Yaani mpak ukipoteza MKE unaweza ukalia.
Maana sio tuu umepoteza MKE Bali umepoteza Mama Bora Kwa kizazi chako.

Mwanamke ili awe huru na apate mapenzi ni lazima ajiweze kiuchumi. Yaani hiyo ndio falsafa yangu.
Lakini akiwa tegemezi ninauhakika hawezi kuwa na mapenzi ya kweli Kwa sababu ataleta unafiki nafiki.

Jambo linamkera anashindwa kukwambia kisa anaogopa unaweza kumtukuza na ukimfukuza ataishije. Sasa hapo kuna MKE hapo
 
Kwa hiyo Binti Yako wewe hutaki Aishi na mwanaume mbinafsi ila wewe ndio unataka mtoto wa mama mkwe wako aishi na mbinafsi wewe?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…