Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Unajikanyaga unaenda mbele unarudi nyuma....Hapa kikubwa Tafuta Hela.Sijasema wanaume wasiwatunze Wake zao.
Mbona unashindwa kunielewa.
Angalia Kati ya Ronaldo au kina Diamond na watu mashuhuri, wapi wanashoboka na ninyi Wanawake.
Wanawake ndio mnashobo na kina Ronaldo, diamond, na watu wa sampuli hizo. Lakini kamwe Watu kama hao hawawezi babaishwa na Wanawake hasa Wanawake wabinafsi.
Kumhudumia Mkeo hasa asiye mbinafsi ni jukumu la mwanaume yeyote mwenye Akili timamu. Na Mwanamke Bora haoni shida kujitoa kwaajili ya mumewe.
Lakini Wanawake wengi wenye attitude za kimaskini ndio kama ninyi, nauli unayo lakini ATI mpaka utumie. Hakuna Mwanaume WA maana anaweza kuoa Mwanamke wa hivyo, including huyo Ronaldo.
Unapoambiwa Nyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke tunazungumzia Wanawake wenye sifa nilizozitaja. Sio wanaoshindwa kujilipia nauli na vocha, hao ni kupe wanyonyaji. Ni hasara kubwa