Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Upewe maua yako umemaliza kila kitu ...naunga mkono hoja [emoji419][emoji375]
 

Vijana wasipoelewa hapa sijui tena.

Yaani umepiga Ambakati sio mchezo
 
Hapo unakua na uhakika mapenzi ni ya kweli.
Hata siku ukiwa nazo unamnunulia gari bila kusita.

Wanawake WA hivi Wana upendo wa kweli, sio Mwanamke fukara anayeweza vitu vya ajabu ajabuajabu, kazi unafiki nafiki.

Mwanamke wa Aina hiyo akikushauri Jambo lazima ulitilie maanani Kwa sababu unajua kichwa kinachaji, lakini hizo ngedere likikushauri jua linalenga ubinafsi wake.
 
Huyo Elon Musk mwenyewe hana mke
 
Unasikitisha mno mbajo 🤣
 
Ukishazungumzia familia hio ni issue ingine.
 
Hahahahahah we sio mzima
 
Mapenzi ya kitapeli na kimaskini Mimi siyajui Kwa Kweli.
Mimi nataka mapenzi ya kupendana, Mwanamke akinipenda hawezi kukosa nauli wala vocha ya kunitafuta. Hilo ninauzoefu nalo na sijawahi ku-date na Wanawake njaa
Hahahah mkuu huenda tuna falsafa ya aina moja. Stakagi shida kabisa kwenye kitu kinachoitwa mahusiano. 🤣🤣🤣
 
Hahahah hilo kosa kubwa sana🤣 na wenyewe husema huwa hawakosi mda wala nauli kwa wanaume wanaowapenda. Iko hivyo yani
 
Hahahahahah
 
Hahahahah ataelewa tu, mwanamke hana excuse za kijinga akiwa anakuzimia fulu🤣 hata Depal anajua jinsi ambavyo alikuwa anatumia pocket money kumpelekea muhuni mbususu na zawadi za boxer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…