Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alufu tatu mbona nyingi, si ungesema hata Mia tano! But anyway she is promising, sio kama wa mleta mada.
Mia 5 now days ni useless when it comes to bundles, ndio maana sijaitaja.

Wa mtoa mada hatari sana kwa afya 😁😁
Hao ni rahisi kuwa na multiple relationship.
 
unatuma nauli....

ila sasa lazima na yeye kuna mda atakua anatumia yake mara mojamoja, hawezi kua tegemezi kwako 100%
Upo sahihi kabisa, utamtumia nauli, utamsaidia pale unapoweza, utamshauri ili aweze kusimama mwenyewe. Ukiona hana juhudi, weka pembeni hakufai.

Unajua, ukipata mdada na mkashare bills 50%50, au akasema "mshamba leo bill ni kwangu" ujue she's financially free na anakupenda. Wapo wa hivyo japo sio wengi sana..
 
Hii mbinu yako nliwahi itumia na mimi nilipata mademu wengi sana. Wakawa wananifuata wakijua najali na nina uwezo. Niliwala sana walikuja shtuka wamechelewa.

Chizi Maarifa
 
Kwanini usiwaambie ndugu zako wakakupangia Fremu ili usiombe Nauli huku na kule hivi uchi unathamani kiasi gani Hadi Mtu akupangie fremu
 
hatakama mtu ni jobless kuna vile vitu vidogo unaweza kumudu mfano, nauli.... hela ndogo za mitoko n.k....

vitu vidogo tu hivyo huwezi kuomba kila mara utakua na matatizo
Anatoa wapi pesa na mtu ni jobless??

Tz mtoto akimaliza chuo akitulia home kucheck upepo ni wazazi wachache wanaoendelea kuwapa binti zao pocket money.
 
🀣🀣🀣
Aise kweli tunatofautiana...nikae natafuta heshima toka kwa mwanamke, yaani kiumbe dhaifu mie nihangaikie heshima yake🀣🀣🀣🀣
Anyways uzuri wa maisha kila mtu na mtazamo wake
 
Alafu tuache uwongo hamna mwanamme anatomba bure bwana
 
Kwani unafikifi hajafikisha 30 [emoji23][emoji23][emoji23]
ila haya makavu ni yenyewe kabisa
pitia juice hapa Magomeni ntalipa mkuu
 
Hujamwelewa mtoa mada naona umekurupuka kumponda ili upate likes za wadada sijui.

Nilivomwelewa mtoa mada ni kuwa yeye hajakataa kumpa hela mke/mpenzi wake, kwasababu kiuhalisia Na kihaki kabisa hilo ni jukumu letu sisi wanaume kuwapa hela wake/wapenzi wetu, alichokataa Mtibeli ni yeye kutumika.

Na hii ni kwasababu kuna wanawake wana mindset za kishetani, yupo na wewe kwenye mahusiano ili umpe hela na kiuhalisia moyoni hakupendi kabisa na havutiwi na wewe kimapenzi.

Mara nyingi wanawake wanawaambiaga rafiki zao kwenye vijiwe vyao vya story, yule mwanaume sio type yangu, simpendi ila niko naye tu kwenye mahusiano ili nimalizie nyumba yangu, aweze lipa kodi mjini, ajikimu kimaisha, infact hata humu jf wanawake wengi wanakiri kuwa wanaolewa kisa matunzo/pesa ilhali hawavutiwi kimapenzi na waume zao.

Huo ndio utapeli ambao mtibeli ameukataa uttoh2002
 
ni wazazi wachache wanaoendelea kuwapa binti zao pocket money.
hapana aisee, kamba hii....

nimeishi na dada kwahiyo naelewaπŸ˜‚ ila hii imekaa kimtazamo zaidi, kuna wadada wakishapata mpenzi wanaona wasitumie hela yao kabisa, na kuna wale wapole wanaosaidia kidogo....
 
Nitumie laki basi nikaoshe nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…