Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Saa 1 na dk 34 why kashindwa kukuwekea hilo salio?? Mpaka aseme kesho?Umeeleweka mkuu!View attachment 2681838
Ina maana m pesa yake haina hata elf 3 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa 1 na dk 34 why kashindwa kukuwekea hilo salio?? Mpaka aseme kesho?Umeeleweka mkuu!View attachment 2681838
Mtoa mada hayajui mapenzi kabisa..
Kama unakereka na nauli au vocha kwa mtu ambaye unajua kabisa hana means za kupata pesa, basi tena mkuu. Utafute "ready-made" mkagawane bills huko restaurant na mkasaidiane kulipia lodge.Kuwa na Pesa ya vocha na nauli ni pesa ndogondogo. Haimaanishi anajiweza kiuchumi au anauhuru kiuchumi.
Ninachoelezea hapa ni kuwa kugeuzwa msukule kisa mapenzi na kile kiitwacho wewe ni Mwanaume hiyo ni dhana ya Wanawake Maskini waliorithi umaskini Kutoka kwao.
Unamsaidia mtaji ili akue kiuchumi na sio kuwa ombaomba maana Formula na mfumo wa Maisha hauitaji kumpa mtu hela Bali kumpa njia za kuingiza hela so lazima umsaidie Mtu kujikwamua kiuchumi na sio yeye kukutegemea kwa kila kitu hapo je mkiachana itakuaje?Imagine umekutana na graduate, au binti amekaa home akitafuta kazi kwa miaka miwili hivi. Anaonyesha kukupenda, won't you help her when necessary?
Aise kweli tunatofautiana...nikae natafuta heshima toka kwa mwanamke, yaani kiumbe dhaifu mie nihangaikie heshima yake🤣🤣🤣🤣Hicho ndio najaribu kumueleza lakini naona hanipati.
Sijakataa wanaume kuhudumia Wanawake wanaowapenda, Ila tatizo langu lipo Kwa Vijana wanaoteswa, wanahenyeshwa na kutumikishwa kisukule na bado hawapati heshima wanazozistahili.
Ilhali Sisi ambao hatuhenyeki wala kutumikishwa tunapewa heshima na tunapewa Haki zetu
Sasa hasipofanya semu yake kuna maana gani ya kuwa na mtu wa namna hiyo?Ki kanuni, Ki biblia jukumu lako ni kupenda, yeye kuheshimu, na unafanya sehemu yako bila kuangalia yeye kama kafanya yake.
Hem nieleze mimi nisiyeelewa, unahitaji kumuona gf wako sehemu, unajua kabisa hana kipato. Wewe utafanyaje?hatakama hana kitu,
kuna ile kushirikiana vitu vidogo, hatuzungumzii vibinti vya form 6
Mwanamke lazima ajiongeze bwana hapo ata hela kutoa unatoa tuu. Demu umedhamini mapambano kuni yeye ata siku moja kisema bby nipo hotel flani njoo basi tuenjoy hamna. Ah they just too selfishAisee umesema kweli.
Wako mabinti mpk akwambie anahitaji msaada unampa bila kuuliza.
Kuna binti siku niko zangu alosto sina hela home.
Kaniona natia huruma
Alikua na hela anarudi chuo.
Kanipa zote nikalewe😁.
Mama pia ni mlokole.
Kaona huyu jamaa hayuko sawa
Aisee nikashangaa karudi na Bapa hilo.
Akasema likiisha nakuchukulia jingine usimwonyeshe mtu,🤣🤣🤣
Hawa wanawake wawili sanamu yao ninayo
Nawaheshimu sana.
Hapo tunaelewana mkuu, msaidie ajisimamie. Sasa swali, kama hujamuwezesha(japo siafiki kuwezesha mtu asiye mke), hii ni sawa na kusomesha mtu asiye mkeo. Unadhani utakutana nae vipi, aombe pesa kwa baba yake ili aje kukuona?Unamsaidia mtaji ili akue kiuchumi na sio kuwa ombaomba maana Formula na mfumo wa Maisha hauitaji kumpa mtu hela Bali kumpa njia za kuingiza hela so lazima umsaidie Mtu kujikwamua kiuchumi na sio yeye kukutegemea kwa kila kitu hapo je mkiachana itakuaje?
Kama unakereka na nauli au vocha kwa mtu ambaye unajua kabisa hana means za kupata pesa, basi tena mkuu. Utafute "ready-made" mkagawane bills huko restaurant na mkasaidiane kulipia lodge.
mtu ana uwezo wa kukununulia pochi we unataka gari....
mungu anawaona[emoji23]
Mwanamke lazima ajiongeze bwana hapo ata hela kutoa unatoa tuu. Demu umedhamini mapambano kuni yeye ata siku moja kisema bby nipo hotel flani njoo basi tuenjoy hamna. Ah they just too selfish
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alufu tatu mbona nyingi, si ungesema hata Mia tano! But anyway she is promising, sio kama wa mleta mada.Saa 1 na dk 34 why kashindwa kukuwekea hilo salio?? Mpaka aseme kesho?
Ina maana m pesa yake haina hata elf 3 [emoji1]
Hapo tunaelewana mkuu, msaidie ajisimamie. Sasa swali, kama hujamuwezesha(japo siafiki kuwezesha mtu asiye mke), hii ni sawa na kusomesha mtu asiye mkeo. Unadhani utakutana nae vipi, aombe pesa kwa baba yake ili aje kukuona?
unatuma nauli....Hem nieleze mimi nisiyeelewa, unahitaji kumuona gf wako sehemu, unajua kabisa hana kipato. Wewe utafanyaje?
Atumie yake ipi na ulidate jobless, anakaa kwao maybe??unatuma nauli....
ila sasa lazima na yeye kuna mda atakua anatumia yake mara mojamoja, hawezi kua tegemezi kwako 100%
Aise kweli tunatofautiana...nikae natafuta heshima toka kwa mwanamke, yaani kiumbe dhaifu mie nihangaikie heshima yake🤣🤣🤣🤣
Anyways uzuri wa maisha kila mtu na mtazamo wake
Binafsi Mimi huwa naamini ukimsaidia Mtu akainuka kiuchumi hata mki breakup bado atoendelea na Yale Maisha ya mademu wa bongo ya kutafta mwanume ili awe solebread winner so Unaweza kuangalia Boss Ruge mademu zake Kama Nandi zumaridi n.k wote amehakikisha anawatoa katika utumwa wa kuamini uchi ndo utawapa Maisha Bali hard workHapo tunaelewana mkuu, msaidie ajisimamie. Sasa swali, kama hujamuwezesha(japo siafiki kuwezesha mtu asiye mke), hii ni sawa na kusomesha mtu asiye mkeo. Unadhani utakutana nae vipi, aombe pesa kwa baba yake ili aje kukuona?
Mkodie fremu muwekee bihashara uone kama atakuomba hiyo nauli. Umechagua mwenyewe jobless then unataka ajitafutie nauli serious??[emoji1]. Lakini unataka anayejilipia nauli mwenyewe, inamaanisha lazima huyo mtu awe na kakipato mazuri zuri kidogo, aliyejobless hawezi kumudu hiyo gharama. Na kwa jinsi nnavyokusoma , huwezi mkubali muuza maandazi bhana, Ila hapa wasema tu ooh auze hata maandazi, serious??[emoji23][emoji23]. Na kwa namna hii hata jobless humuhitaji wewe. Endelea kula wenye kazi zao ati [emoji1][emoji1][emoji1]. Wanaume wengine mna nongwa khaaaa, ukioa mkeo ataisoma namba utampigia mahesabu mpk ya kijiko, yee anunue kijiko we ununue kisu lol!!