ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Inawezekana kabisa, don't judge a book you haven't read.Binti ashindwe kutengeneza hata maandazi?
Ukikutana na mwanamke, mjifunze kwanza then angalia Kama mnaweza kulianzisha, ukiona haiwezekani tafuta namna umuache salama, otherwise utamtesa tu.
Vijana wengi ni jobless mkuu!!