Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

mke wake atapata tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bahati yako!! Kwahiyo dadaako walikuwa wanamla bure?!!

Vocha anazopewa na wazazi ndio anawasiliana na mpenzi wake?!!

Hebu toeni huduma acheni ubabaifu
mbona unakaza fuvu😂

sijakataa hela kuombwa ila msiwe tegemezi 100%
 
kivipi huo ubinafsi

Mwanamke anaweza akawa anajiweza kiuchumi na bado Kwa ubinafsi wake akakufanya msukule wake. Na wengi wapo hivi.
Chake ni chake, cha kwako ni chakwenu wote.

Alafu kuna ambaye hajiwezi kiuchumi lakini akawa sio mbinafsi. Kidogo alicho nacho NI chenu wote. Mnashirikiana, mnajaliana, mnasapotiana.

Lakini wale majangili ambao wengi wao wapo humu pia, wao wanataka wewe ndio umenyeke tuu kwaajili Yao, hata kama yeye anauwezo.

Yeye anawaza umtumie nauli lakini hajawahi kufikiria hata siku moja kukutumia nauli. Jua hapo umepoteza. Huna MKE hapo
 
Waulize Wanawake watakuambia.
Wapo wanaopewa mpaka Pesa na Wanawake. Unaishi wapi Mkuu.

Kuna Wanawake hapa mjini wamewapa Vijana mitaji na biashara zinasonga, au unataka niwataje😀
Mie huyo mwanamke wakutombwer bureeeeeee nataka nimuone
 
Kwani unafikifi hajafikisha 30 [emoji23][emoji23][emoji23]
ila haya makavu ni yenyewe kabisa
pitia juice hapa Magomeni ntalipa mkuu
Huwa wanajitoa ufahamu muda mwengine [emoji16]. Wengine watapata tabu sana wakiingia ndoani. Ni ajabu mwanaume kulilia 50 kwa 50 [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwanini usiwaambie ndugu zako wakakupangia Fremu ili usiombe Nauli huku na kule hivi uchi unathamani kiasi gani Hadi Mtu akupangie fremu
Sasa usilalamike mwanamke wako kuomba nauli kama yeye ni jobless na ndugu zake hawana uwezo huo wa kumfungulia fremu ama lah piga nyeto au kanunue dada poa. Ukitaka mwanamke awe unavyotaka wewe katafute aliyejijenga tayari ili mgawane majukumu. Au lah msapoti . Swala la mahusiano ni Pana usiangalie yule ambaye anajiweza tuu. Kuna watu Hana mtaji , Hana kitega uchumi na Hana pahali pa kuingizia pesa. Sasa wewe unataka uterezi mrahisishie afike unataka ajilipie. Maisha tunatofautiana bro
 

Sifa ya Kwanza ya mwanaume ni AKILI.

Ili uwezo kutimiza majukumu mengine Kwa ufanisi ni laza mwanaume uwe na Akili.

Sio unakadhania ku-protect na ku-provide bila Kutumia AKILI.

Ninyi ndio wale mnachezewa shere na Wanawake Kwa kutembelea ujinga na Akili mgando za Mimi ni dume lazima ni linde na kuhudumia.

Hudumia na Linda Kwa Akili usijeingizwa kingi.

Kumhudumia Mwanamke mbinafsi Kwa kisingizio ATI wewe ni Mwanaume ni dalili ya kuwa haujitambui, hujui unachokifanya na pengine hujui matokeo ya ufanyacho.

Ndio maana wanaume wengi wajinga wamebambikiziwa Watoto, wanatunza Watoto wasio wao, wanahudumia Wanawake alafu Wanawake haohao wanawanyima unyumba, lakini Kwa vile ni misukule kwao ni Sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…