Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Wengine huwa hawaishi na wanawake, wanaishi wenyewe mpaka wanakufa. MWANAUME aliyakmilika anasaidia mwanamke wake kwa Upendo anapokuwa ma uwezo.

Huwezi kuwa mwanaume timamu, unayejiandaa na kujipanga kutosaidia mwanamke, mna shida gani vizazi vya kipindi hiki?

Misingi ya ndoa, ambayo inaonekana kwenye uanaume na uanawake toka utotoni,

A Man is'

  • Protector.
  • Provider.

Yani ili nijisikie vizuri i lazima ni provide na ku protect ( kwa uwezo na Upendo lakini), sio kujiumiza, kujiumiza haifai, na hapo utapendeka.



Nachokupinga ni kwamba wewe unajiandaa kwenda kinyume na kanuni za k uanaume na uanawake, na hapo ndo Unaharibu
[QUOTE/] Pamoja na kutoa haya maelezo marefu, nasikitika kukwambia kwamba mada hujaielewa ipasavyo ila umekurupuka tu.

Rudia kusoma upya na usome kwa utulivu.
 
Mwanaume hawezi kuwa mtumwa WA Mwanamke.
Kitendo cha kumhudumia Mwanamke mbinafsi Kwa kigezo cha kumpenda moja Kwa moja kinaonyesha mwanaume hajiamini na NI mtumwa wa huyo Mwanamke.

Mwanaume hata awe na Pesa au utajiri wa kiwango gani, kumsaidia Mwanamke kunaendana na tabia za Mwanamke husika. Na hapa nazungumzia Tabia njema.
Kwani wengine wana vichwa gani kiasi cha kushindwa kuielewa hii mada?

Mbona jambo ulilozungumza ni ukweli mtupu lakini ajabu mwingine anajitokeza kudai sijui anapinga?!!
 
Mkuu hao wanawake unaowasema ndiyo Bwana Elon Musk ameamua kuwatengenezea.

Mwanamke hakuombi hata hela ya kununua Peruvian Hair, sembuse ya kwenda kusafisha Kucha Saluni.

Unadate na Mwanamke ambaye hakuombi Vocha si atafanya akili yako ilale, Mwanamke lazima akuombe vi elfu 50, 50 ili akufanye utie bidii kutafuta hela
Bila shinikizo la mwanamke, kwahiyo wewe huwezi kutia bidíi katika kutafuta hela?

Note: Ni kheri kuwa maskini wa mali kuliko kuwa maskini wa akili.
 
Bila shinikizo la mwanamke, kwahiyo wewe huwezi kutia bidíi katika kutafuta hela?

Note: Ni kheri kuwa maskini wa mali kuliko kuwa maskini wa akili.
Kuna Wanawake wanatumika kama Chachu ya mafanikio ya baadhi ya Wanaume.

Tukianza kupata inspiration za Wanawake hapa utashangaa
 
Kuna mtu alicoment
" wanawake wote ni omba omba wapo level tofauti tu, Kuna wakuomba elfu 5., elfu 50, laki wengine million, so tuishi nao hivyo hivyo..usipoombwa hela basi Kuna mwenzako anazitoa.
 
Imagine umekutana na graduate, au binti amekaa home akitafuta kazi kwa miaka miwili hivi. Anaonyesha kukupenda, won't you help her when necessary?
Kama anaonyesha kunipenda na siyo kunipenda kweli sitamsaidia maana ni atakuwa wale wale.
 
Hujamwelewa mtoa mada naona umekurupuka kumponda ili upate likes za wadada sijui.

Nilivomwelewa mtoa mada ni kuwa yeye hajakataa kumpa hela mke/mpenzi wake, kwasababu kiuhalisia Na kihaki kabisa hilo ni jukumu letu sisi wanaume kuwapa hela wake/wapenzi wetu, alichokataa Mtibeli ni yeye kutumika.

Na hii ni kwasababu kuna wanawake wana mindset za kishetani, yupo na wewe kwenye mahusiano ili umpe hela na kiuhalisia moyoni hakupendi kabisa na havutiwi na wewe kimapenzi.

Mara nyingi wanawake wanawaambiaga rafiki zao kwenye vijiwe vyao vya story, yule mwanaume sio type yangu, simpendi ila niko naye tu kwenye mahusiano ili nimalizie nyumba yangu, aweze lipa kodi mjini, ajikimu kimaisha, infact hata humu jf wanawake wengi wanakiri kuwa wanaolewa kisa matunzo/pesa ilhali hawavutiwi kimapenzi na waume zao.

Huo ndio utapeli ambao mtibeli ameukataa uttoh2002
Exactly.
 
Back
Top Bottom