Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Mimi sio MTU wa kubagua Wanawake Wazuri wanaofanya kazi zao kama ujasiriamali.
Lakini ni mbaguzi na mwenye dharau Kwa Watu wanyonyaji ambao hawajishughulishi na wanataka kunyonya nguvu za wengine
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanyonyaji kama kunguni. Hao piga chini kabisa. Mwanamke anayetumia nyuchi kupata kipato siyo mwanamke kabisa. Kama vile Paula na kajala hawaifai vibaya mno
 
Mkuu salute kwako.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanyonyaji kama kunguni. Hao piga chini kabisa. Mwanamke anayetumia nyuchi kupata kipato siyo mwanamke kabisa. Kama vile Paula na kajala hawaifai vibaya mno

Mimi ninavyojua Mwanamke akikupenda Mno lazima utaishi Maisha mazuri.
Wote mpendane, mshirikiane, hakuna ubinafsi.

Tatizo lenu Wanawake wengi ni wabinafsi WA kiwango cha SGR, na hii inatokana na kuwa wengi mpo na wanaume msiowapenda.
 
Nyie wanawake muwe mnawatia madole ya tgo hawa wavulana, wanatujazia threads humu JF wao wakiamka wanawaza kuandika upuuzi tu...
 
unatuma nauli....

ila sasa lazima na yeye kuna mda atakua anatumia yake mara mojamoja, hawezi kua tegemezi kwako 100%
Hawa wanawake majambazi wamejazana hapo sinza,tbt kino atumie hela yake?
Anakwambia bby mi siji na bajaj nijazie mafuta nidrive.
Ukimpa imekula kwako.
Utachoma mahindi hatokei
Unaishia kutukana mitusi yote duniani.
 
Mkuu kuna wanaume wenye kujiweza hataki mkewe afanye kazi yeyote zaidi ya kukaa nyumbani kuangalia familia watoto na kufanya shughuli ndogondogo za nyumbani.
Hawa unawazungumziaje.
 
Mapenzi ya kitapeli na kimaskini Mimi siyajui Kwa Kweli.
Mimi nataka mapenzi ya kupendana, Mwanamke akinipenda hawezi kukosa nauli wala vocha ya kunitafuta. Hilo ninauzoefu nalo na sijawahi ku-date na Wanawake njaa
Asee! Leo ni misumarii tu[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Nyie wanawake muwe mnawatia madole ya tgo hawa wavulana, wanatujazia threads humu JF wao wakiamka wanawaza kuandika upuuzi tu...
So kama kuna ambao wanaona ulichoandika ni upuuzi pia unaojaza threads humu JF,na kukuona wewe kavulana,unapaswa kufanyiwa hilo jambo na mwanamke wako au wanawake wako?
 
Mtu akiamua kukusaidia haitaji uchi wako Mkuu hizo fikra zenu mbaya that way hampati wanaume smart unabidi kuelewa Mwanaume anayehitaji kukusaidia ili utoke hatua A to B kwake uchi sio Jambo la msingi ebu jiulize nimademu wangapi wametoboa maisha kupitia uchi ?
 
Kwa maelezo haya ni wajinga tu ndo watakupinga
 


Nipate like maana zinanipa hela, we kwenge kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…