Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

 
Kwani wengine wana vichwa gani kiasi cha kushindwa kuielewa hii mada?

Mbona jambo ulilozungumza ni ukweli mtupu lakini ajabu mwingine anajitokeza kudai sijui anapinga?!!
 
Bila shinikizo la mwanamke, kwahiyo wewe huwezi kutia bidΓ­i katika kutafuta hela?

Note: Ni kheri kuwa maskini wa mali kuliko kuwa maskini wa akili.
 
Bila shinikizo la mwanamke, kwahiyo wewe huwezi kutia bidΓ­i katika kutafuta hela?

Note: Ni kheri kuwa maskini wa mali kuliko kuwa maskini wa akili.
Kuna Wanawake wanatumika kama Chachu ya mafanikio ya baadhi ya Wanaume.

Tukianza kupata inspiration za Wanawake hapa utashangaa
 
Kuna mtu alicoment
" wanawake wote ni omba omba wapo level tofauti tu, Kuna wakuomba elfu 5., elfu 50, laki wengine million, so tuishi nao hivyo hivyo..usipoombwa hela basi Kuna mwenzako anazitoa.
 
Imagine umekutana na graduate, au binti amekaa home akitafuta kazi kwa miaka miwili hivi. Anaonyesha kukupenda, won't you help her when necessary?
Kama anaonyesha kunipenda na siyo kunipenda kweli sitamsaidia maana ni atakuwa wale wale.
 
Exactly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…