Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Hakiiiikaa hayana
Nawaachia mtoto wao shida Iko wapi.Ndio madhara ya kutembea na binti na kumzalisha bila kujitambulisha kwao.
Hio sio mahari, ni ada ya kuwadharau wazazi na ndugu wa binti, unatembea na binti yao miaka hadi umemzalisha lakini huendi kujitambulisha kwao, umewafanyia uhuni nao watakupangia mahari ya kihuni, dawa ya moto ni moto.
Kuna mwengine aliweka mkasa wake humu aliambiwa alipie mahari milioni 10 huko Kigoma, alikuwa anaishi na binti Dsm, wana mtoto, jamaa kipindi chote hicho hajawahi kwenda kujitambulisha,
Kama angepiga chini bila kumuoa wangempa nani hiyo adhabu ya 22mNdio madhara ya kutembea na binti na kumzalisha bila kujitambulisha kwao.
Hio sio mahari, ni ada ya kuwadharau wazazi na ndugu wa binti, unatembea na binti yao miaka hadi umemzalisha lakini huendi kujitambulisha kwao, umewafanyia uhuni nao watakupangia mahari ya kihuni, dawa ya moto ni moto.
Kuna mwengine aliweka mkasa wake humu aliambiwa alipie mahari milioni 10 huko Kigoma, alikuwa anaishi na binti Dsm, wana mtoto, jamaa kipindi chote hicho hajawahi kwenda kujitambulisha,
Anayejua pisi ya haja ni mwanaume, wewe huwezijua.Wengi mnaomcheka Beka hapa huyo mwanamke wake mnamjua lakini? Pisi ya moto kwelikweli.
Huyo dada alimpenda sana Beka, ila Beka nae kama walivyo wanaume wengine kipindi anawika na vinyimbo vyake viwili vitatu akamchukulia poa, sasa hivi ndio analialia.
Ningekuwa mimi wala nisingemrudia, jasiri haachi asili.
Caren tena?Anayejua pisi ya haja ni mwanaume, wewe huwezijua.
Caren sio pisi ya haja ni malaya tu kama wengine