Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiutaratibu,
Mwanamke ukishamzalisha, mahali unajipangia, Tena unamkadiria
Wengi mnaomcheka Beka hapa huyo mwanamke wake mnamjua lakini? Pisi ya moto kwelikweli.
Huyo dada alimpenda sana Beka, ila Beka nae kama walivyo wanaume wengine kipindi anawika na vinyimbo vyake viwili vitatu akamchukulia poa, sasa hivi ndio analialia.
Ningekuwa mimi wala nisingemrudia, jasiri haachi asili.
Sasa ndio wanamkomoa naniNdio madhara ya kutembea na binti na kumzalisha bila kujitambulisha kwao.
Hio sio mahari, ni ada ya kuwadharau wazazi na ndugu wa binti, unatembea na binti yao miaka hadi umemzalisha lakini huendi kujitambulisha kwao, umewafanyia uhuni nao watakupangia mahari ya kihuni, dawa ya moto ni moto.
Kuna mwengine aliweka mkasa wake humu aliambiwa alipie mahari milioni 10 huko Kigoma, alikuwa anaishi na binti Dsm, wana mtoto, jamaa kipindi chote hicho hajawahi kwenda kujitambulisha,
Why not?Nifah,hata kama ni pisi ndo mahari iwe 22m??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti vinyimbo viwiliii, ila yule dada mzuri jamaniii.Wengi mnaomcheka Beka hapa huyo mwanamke wake mnamjua lakini? Pisi ya moto kwelikweli.
Huyo dada alimpenda sana Beka, ila Beka nae kama walivyo wanaume wengine kipindi anawika na vinyimbo vyake viwili vitatu akamchukulia poa, sasa hivi ndio analialia.
Ningekuwa mimi wala nisingemrudia, jasiri haachi asili.
Mapenzi hayana formulaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemgonga vilivyo mpaka umemzalisha bado wewe ndo unamlilia aiseee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwan mzazi mwenza wa beka ni Caren??Anayejua pisi ya haja ni mwanaume, wewe huwezijua.
Caren sio pisi ya haja ni malaya tu kama wengine
Mwambie hana tofauti na mamaJSijajua nimtukane tusi gani uyo bekafleva[emoji29]
I see!Wengi mnaomcheka Beka hapa huyo mwanamke wake mnamjua lakini? Pisi ya moto kwelikweli.
Huyo dada alimpenda sana Beka, ila Beka nae kama walivyo wanaume wengine kipindi anawika na vinyimbo vyake viwili vitatu akamchukulia poa, sasa hivi ndio analialia.
Ningekuwa mimi wala nisingemrudia, jasiri haachi asili.
Atoe hizo pesa harakaWale wa picha..!View attachment 2862132
Mbona ndogo sana hizo, pesa za mboga tu.Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu?
Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na risasi?ok anyway naomba tumchangie
Hiyo piss ya kawaida, haikufikii Cha upole wetu🤣😀😂🤒Wale wa picha..!View attachment 2862132