Mshaambiwa mitusi na uropokaji haiwaongezei kura.Chadema inaenda kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba endapo hawa wajinga wawili Mbowe na wenje wataiba kura na kushika uongozi, Akili ya wenje ni ndogo, Akili za mbowe zimedumaa anaenda kwa Akili za chawa akina Sugu wavuta bangi, ebu fikiria huo uongozi utakuaje? balaa tupu hawa wati wawili ni punguani wa kutupwa badala ya kunadi sera sasa wamekalia masimango na mambo ya hovyo tupu